Mfahamu dada anayeongea kwenye simu "Mteja unayempigia hapatikani kwa sasa"

Ukipiga simu kama unayempigia hapatikani kuna sauti inayokwambia Samahani mteja unayempigia hapatikani kwa sasa.Dada aliyerekodi hilo tangazo huyu hapa.

asee simpendi yaani ana kiherehere sana pale unapopiga alafu ukute salio halitoshi huwa ni mwelesi sana kujibu kabla hata cm simu haijaanza kuita
 
Back
Top Bottom