Experienced Salesman needed

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
645
1,188
Habari zenu. Future Group Company (FGC) iliyopo Mbezi Beach Dar es Salaam, Kiwanda Kinachojishungulisha na Utengenezaji wa Glass Curtain Walls, Balustrades na Bidhaa nyengine za Aluminum kama Aluminum Fence, Aluminum Windows na Aluminum Doors.

Leo tarehe 18.4.2018 tunakutangazia kuwa tunahitaji Salesman mwenye uzoefu usiopungua Miaka 2 katika Kazi hiyo. Elimu uwe na Bachelor Degree na kuendelea.

Kama una Kigezo Hicho na Ungependa kufanya Kazi na Sisi tunaomba ututumie CV yako kwenye Email ifuatayo: hrfbde@gmail.com

Website Yetu ni: www.fgc1998.com

Asanteni Sana
 
Back
Top Bottom