Search results

  1. M

    ACACIA: Tumeshapunguza wafanyakazi 1200 na Wakandarasi 800 ili kupunguza gharama za uzalishaji

    Hivi si walisema makinikia hayana hela ya msingi, inakuwaje wapate hasara yooote hiyo kwa mchanga tuuu??. Nisaidieni waungwana kwani mm ni mjinga wa eneo hili Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Kenyatta na sifa za kijinga kutoka UKAWA

    Kama wana ufahamu mzuri hawawezi kuja na kutetea hili la Kenyatta Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

    Tunachohitaji ni kuona mchezaji mwenye kuleta matokeo. Najua Messi anaujua mpira hilo halina ubishi lakini, kaleta mafanikio ya mataji kwa muda huu tunaoongea na hata kwa timu ya taifa lake ameletachango mkubwa?
  4. M

    Updates za mechi ya simba na African Lyon

    Tunaomba updates tusiokuwa hewani jamanu
  5. M

    Ng'ombe zaidi ya 5000 wafa Shinyanga kwa ukame

    Jamani mm nimefanya kazi kanda ya ziwa. Wasukuma hawaendani na miti, wamekata miti mkoa wa Shinyanga hadi ajabu na wilaya ya Kishapu ni kama jangwa. Kwa hali hiyo lazima wakutwe na majanga hasa kama wafugaji na wakulima wenyewe hawatabadilika. Na kwao ng'ombe ndio utajiri, hata iweje hawauzi...
  6. M

    Watu kama Mkuu wa Mkoa huyu ni hatari sana ukiwa unafanya nao kazi. Hawaoni hasara kukuharibia

    Hebu watanzania tutumie muda kuweka wazi na mazuri wafanyayo viongozi. Mnatufunza nn tusiojua kuhusu nchi yetu. Kila siku ninyi ni kuweka mabaya tuu!!!!. Badilikeni mtupe na mazuri ili tujifunze kuwa watanzania wema
  7. M

    Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Umenena samalanga Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  8. M

    Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Hapo Mwanza umeenda duka la sehemu gani? Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  9. M

    Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Habari. Nina taarifa kidogo. Kwanza inabidi ujue unahitaji trekta lenye uwezo gani yaani horse power na unataka brand new au used. Kwani bei inatofautiana kutokana na upya au imetumika, capacity , where is it made, brand na payment mode. John Deere wana payment arrangements ya kulipa 50% at the...
  10. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Nashukuru nimeshakiuza waungwana
  11. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Nashukuru nine shakily za waungwana
  12. M

    Swali la weekend kwa wanafamilia...

    Hakuna familia ya baba na mke
  13. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Tatuzo nakosa muda wa kwenda kupiga picha kwani naingia kazini asubuhi na mida hii ndo natoka. Labda hadi Jumamosi ndo naweza kwenda kupiga picha
  14. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Picha mpaka kesho nitatuma jioni kwani sijapiga na mm niko nyegezi halafu asubuhi mpaka jioni nakuwa kibaruani. Kesho tukijaaliwa
  15. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Kimekamilka
  16. M

    Plot4Sale Nauza kiwanja Mwanza

    Nauza kiwanja jijini Mwanza kipo maeneo ya Nyamhongoro majengo mapya. Kina eneo la 487 za mraba kiko prime area. Bei ni shilingi 10/=mil. Kina documents zote. Kwa mawasiliano piga 0784933374
  17. M

    Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Wasomi wengi hawawezi kujiingiza kwenye kilimo. Kwanza ndio wanaongoza kwa kuogopa risk lakini pili wanataka white color jobs, tatu wanataka kutumikia elimu yao kama ilivyowaelekeza (kuajiriwa tuu) na nne wanataka assurance zaidi kwamba hata kama usipoenda kazini aidha kwa kuumwa au tatizo...
  18. M

    Nauli ya kutoka Mwanza to singida bei?

    20,000 Maximum
  19. M

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Mheshimiwa Malila, naomba na mimi niunganishwe kwenye group hili angalau nijikite na mm kwenye biashara hii. Namba yangu ni 0784933374 au e mail address mayumbo2001@yahoo.com
Back
Top Bottom