Kuna uzi unaojitokeza hapa JF kuhusu uuzaji ICT training videos ambao maswali yameulizwa kuhusu uhalali wake. Hizo video training "zimeokotwa" kwenye wingu la internet na "mjasiriamali" mmoja hapa ameamua kufanya dili, cha kufurahisha ni kuwa mtu akiishuku hiyo biashara hiyo thread punde...
Kila mwaka hii ishu huwa inajirudia rudia na wahusika kutishia makali ya sheria kuikabiri skendo hii.
Naona sasa wapanue wigo wao wa kuchambua nini cha kufanya, inasemekana fibre optic cable sasa imeshatandazwa kote nchini, je hakuna IT solution ya kurahisisha uchapishaji mitihani kwa muda...
Kwenye ukumbi huu, kumekuwa na maongezi kuhusu kuporomoka kwa elimu na pia kupanda kwa michango ya shule (fees) kwa wazazi. Ufaulu unaopatikana kwenye shule za binafsi wengine wanaamini kuwa ni changa la macho kwani kuna shule zingine zinaweza kuhusishwa na udanganyifu kwenye matokeo ya mitihani...
Nimepokea email kutoka kwa hawa jamaa baada ya kujaza details zangu kwenye ukurasa wao.
Nikiangalia nani ananitumia e-mail naona kuwa anatumia free gmail.com email account na zaidi, hiyo e-mail pia ipo 'forwarded' kwa mtu mwingine anayetumia NSSF.or.tz account.
Kuweni serious!!!!
Nimeangalia hii picha on IssaMichuzi na najiuliza, hapa kweli hapana maafa? Baadae isiwe ikawa ishu jamani!!!!
http://1.bp.blogspot.com/-mlLgxBXy-48/T7uaFWil3WI/AAAAAAABbCg/eiTIbBvxzTU/s1600/4.jpg
Please view this vid and realise that when you get hacked (pc/password (admin), email/password, site/password) this is how simply it get's done.
SCARED? I AM!
Nina shida ya kutengeneza list ya mashule na maeneo yalipo mfano:
Maua Seminary
KILIMANJARO
MANOW LUTHERAN JUNIOR SEMINARY
MBEYA
Nimeipata hiyo detail kutoka necta lakini najua kuna urahisi wa kutumia ICT techniques kupakua hizo details zote na sio kufungua kila ukurasa na kunukuu...
Came across this today and thought you might be interested
Selenium Tutorial 1 Selenium IDE Testing RC Selenium Web Driver GRID Selenium Framework Training - YouTube
Selenium: A tool to test web sites and web pages
A quick case I could think about is for our web administrators to manage...
Je, management ya mwalimu inafanywa na wizara ya elimu au pale wilayani? Nimefungua pdf ya waliochaguliwa 2011/12 na mwajiri inaonyeshwa kuwa ni either
MKURUGENZI MANISPAA,
MKURUGENZI MTENDAJI,
au KATIBU MKUU
Kwa anaye fahamu structure ya management please, nipe details.
Ninachojaribu...
Kuna scam inatumwa via e-mail na kuweka jina lako kamili inayoahidi mapesa kiasi cha $5,000 kila siku baada ya wewe kutuma "Registration/Clearance fees" kama kawaida hii ni ya kuitupa in the bin...
Create a new Fiddle - jsFiddle
sample code: see this page: (might need to search for jsFiddle incase the page count changes)
http://www.virtuosimedia.com/search/javascript/2
Saw this today and wondered, can we help to keep alive our languages for the next generations?
Duolingo | Learn English, Spanish and German for free
Need to learn Kikulya, but don't know where to start, can such a facility help our nation to keep our traditional languages alive. beyond this...
Wish the mods can sticky this thread....
For budding web developers, here is a place you can show off your techy wizz...
http://www.000webhost.com
http://www.x10hosting.com
Well, maybe a couple of bags of chips with your favorite diet drink.
Raspberry pi have brought forth this morning their flagship computer sized as a credit card (maybe a little fat though) that is primed to revolutionize access to computers especially to our end of the world.
Will be running...
Following the recent drive by the government/Ministry of Education to try and eradicate/get a handle on the never-ending saga on ghost workers, I got to thinking how an ICT based system can/could be used to at least capture some of the info being sought by the government and form a basis on...
http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=fvwp&v=qM-_qKkgb1E
Kama hii inayofuata ni kweli!!!!
http://www.youtube.com/watch?v=DHrSulXPYu4&feature=related
On the ministry of education page, I have noticed that personal details i.e. exam results and teacher posting displaying the info in spreadsheets, Don't we have a privacy policy in TZ.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.