Topics kupotea hapa JF reference : ICT Training videos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topics kupotea hapa JF reference : ICT Training videos

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kotinkarwak, Jul 30, 2012.

 1. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna uzi unaojitokeza hapa JF kuhusu uuzaji ICT training videos ambao maswali yameulizwa kuhusu uhalali wake. Hizo video training "zimeokotwa" kwenye wingu la internet na "mjasiriamali" mmoja hapa ameamua kufanya dili, cha kufurahisha ni kuwa mtu akiishuku hiyo biashara hiyo thread punde hutoweka, na baada ya siku kadhaa hilo bandiko la "biashara" linarejeshwa humu.

  Ndugu mjasiriamali, tafuta njia nyingine ya kipato kwani ushajijua kuwa wizi kama huu jamii ishaukataa...
   
 2. alphoncetz

  alphoncetz JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Nina imani huna uhakika na maelezo unayotoa hadharani. "YOU BETTER INVESTIGATE BEFORE SPEAK OUT SOMETHING NON SENSE"

  Ulikua na nafasi ya kuniuliza mimi ninaye post hizo ads direct as nimeweka full contact information.

  Kwa manufaa ya wafuatiliaji wangu, clients na wadau wote ni kuwa mimi siye ninayefuta post zangu
  ila nimekua ni post agai and again baada ya ku notice kuwa zinafutwa,
  possibly hii inafanyika na system admins.

  Nimeshawasiliana nao through email ads@jamiiforums.com ili kuona jinsi wanavyoweza kunisaidia kutuma hizo ads kwa terms ambazo wao watanipa

  "Saying something you does'nt really know is NOT the way wise people live"
   
 3. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  U mean I don't know that hizo videos sio zako bali wewe unaziuza kama kazi yako?

  Kama una nia njema na undelevu wa ICT field hapa TZ, basi tupe ushauri mwingine ndugu yangu. lakini kigezo cha kutuuzia mali za wizi hatutaki, ndio masikini lakini hiki kilio hakijatufanya tuwe wezi!!!!
  Kama umebobea kwenye fani hii ya ICT, tengeneza video zako mwenyewe, na hapo utatimiza "wema" unaotutakia sisi wanyonge.

  Kama mods ndio wametoa hilo tangazo basi ni kwa maslahi yao, kuwa matangazo yanahitaji kulipiwa hapa JF, lakini neno lipo pale plae: Wizi hatutaki, MSAMA Promotions ningependa wakutembelee ndio uweze kujieleza vizuri.

  Finally, Wise people live by the sweat of their brow, don't count burning the material to CD is sweat btw....
   
Loading...