there is a saying 'when the reception is good, everything else is forgiven"
Kwa wachagga..Since sura zao ni nzuri, everything else cha chini ya chingo kiko forgiven...Mpooo??
Faida moja wapo unapata muda lukuki wakufanya mambo yako mengine...
Ukiwa sharp unapata consultancies za kutosha na zinalipa
Mshahara ni mdogo ukibahatika sana una 1M take home per month
Mimi ni half caste wa marangu na old Moshi. sijakubaliana na defn zako kabisaa..
Mchaga hashindwi kodi, we are fighters na hata tukielekea kushindwa tunasaidiana maana tuna umoja sana.
Mpeni mchagga nchi muone investments zitakavyoongezeka si kama wengine kazi kutabasamu na kuombaomba tu...
Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research...
1.) its too complex, linachukua material nyingi ya kitambaa watu wa hali duni hawawezi ku-afford
2.) Wamama watu wazima hawawezi kuacha mabega yao wazi na mikanda ya brazia kama huyo binti
Finest..I have plan B....another line..ila sasa kwa sababu tigo ndo line yangu ya kwanza najikuta mtu akitaka contact ndo nampa hiyo namba..I better get rid of it niisahau kabisa akilini.
Unaweza ukapata shida kubwa simu ikaku-let down maisha yako yote yakabadilika.
Haya makampuni kama...
Mimi nimekua nteja mzuri sana wa tigo kwa miaka kama nane hivi tangu nipo shule hadi nafanya kazi na kuanza familia.
It was reasonably cheap kwa kweli for all those years and maybe it still is. Ila jamani tangu juzi ifikapo saa 11 jioni au hata mida ya mchana lunch time utaona network ipo...
Jamani napangisha nyumba.
Ina bedroom 2 ipo mbezi beach barabara ya chini (Mpya)
fully furnished
rental $850 per month inclusive of security, utilities and DSTV.
rental can be short term( 3 months) or long term (one year)
HOUSE FOR RENT
Natafuta wapangaji wawili wa muda mfupi yani mfano mtu anayekuja from another country anakaa TZ for like 2-3 weeks or a month or two ambaye hataki kukaa hotelini
Facilities
Roofing...Tiles
Parking Space..4 cars
Windows..Aluminium
Floor..tiles
Kitchen..Marble table top
Size..2...
HOUSE FOR RENT
Natafuta wapangaji wawili wa muda mfupi yaani mfano mtu anayekuja from another country anakaa TZ for like 2-3 weeks or a month or two ambaye hataki kukaa hotelini
Facilities
Roofing...Tiles
Parking Space..4 cars
Windows..Aluminium
Floor..tiles
Kitchen..Marble table top
Size..2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.