Alisema Gadafi kuwaambia wazungu mnayotufanyia sisi, siku za mbele yatahamia kwenu, na haya ndio yameanza kujitokeza. pia fikiria wazungu wanapotengeza game application kwenye simu kwa watoto wanafundisha nini.
Kila mmoja anajiuliza hivi nini TZ inachojivunia zaidi ya hii JF, tukiwemo JF tunajua fika nini kilichomo ndani ya akili zenu, wenyewe kwa wenyewe maadui, sasa huyo customer tutam serve vipi?
Mkuu nipo katka early stage za ufugaji wa Tilapia, wana miezi miwili na nimewapima wana gram 100 toka walivyokua vifaranga kwa wastani, inaonyesha ni jinsi ya unavyowalisha na chakula aina gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.