Search results

  1. K

    Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

    Masikini Tanzania.Walitumia sifa gani hata akawa mbunge huyu?
  2. K

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kama uongo vile
  3. K

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Ukweli Diallo alimchangia...au jama a si mfanya biashara?
  4. K

    Kwanini waimbaji wa nyimbo za injili hawazeeki?

    Kumtumikia Mungu kuna faida kaka.Niambie ni mwanamziki gani wa mziki wa kidunia ie bongofleva si mlevi au mwasherati?wao Wana fanya kazi ya Mungu aliye hai wakati wengine wakifanya kazi ya shetani.
  5. K

    Tigo sasa mnakeraa kwa hili

    Sasa hivi mimi naenda kununua kwenye Ofisi za Tanesco.
  6. K

    Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

    Huyu Mzimu ana boa sana.Nadhani wachunguzi wamfuatilie inawezekana siyo mtanzania huyu.Waislam wenyewe wenye akili nzuri hii mahakama ya sharia hawaitaki sasa wewe ni Nani mpaka ujifanye una uchungu sana?una boa mno.
  7. K

    Mimi ni Muislamu. Nasema HAPANA kwa katiba pendekezwa

    Mimi pia ni HAPANA na wangedhubutu kuweka mahakama ya kidini ndo kabisa Hata kura nisingepiga.Waislam anzisheni mahakama nyie wenyewe Kwa gharama zenu.Mkachinjane wenyewe.
  8. K

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Baada ya kuona Chadema hamna kitu ni upuuzi tu nimeamua Rais wangu awe Lowasa.Na Zitto chama chochote atakachoenda lazima atachaguliwa.
  9. K

    Upvc vs alluminium windows

    Madirisha ya Mbao mazuri yanakuwaje?maana nowadays ni mwendo wa aluminium. Plz niaaidien maana na mimi niko na mtihani huo.
  10. K

    Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    Upuuzi!!uongo.Kila kitu mnaamini ndo walee mtaambia ukimuua albino unatajirika.Watanzania tuendako siko.
  11. K

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    Zitto alikuwa ana impact kubwa sana CHADEMA.Mbona yule Shibuda hamjamfukuza?Zitto Kichwa huwezi kumfananisha na hao mbululula viongozi wa Chadema. Mimi Kwa sasa nitampigia Lowasa.
  12. K

    Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

    Naipenda ikikaangwa na siyo rost.Ukiwa mtwara karibia eneo linaitwa Amigo.
  13. K

    Wanachonikera Futuhi na Ze Komedi

    Mimi nawapenda Mizengwe tu.Very short but clear.
  14. K

    Kiukweli huwa sipendi usafiri wa ndege basi tu

    Nenda TCAA watakusaidia kukuelekeza namna usafiri wa anga ulivyo mzuri na salama.
  15. K

    Hivi mnaoendaga kwenye show za miziki ya kibongo mnafaidi nini hasa ?

    Badala ya kwenda kukesha kwenye Maombi mnaenda kumtikuza shetani.Shame on you.
  16. K

    King'amuzi cha Continental!

    Azam iko njema.Isipokuwa INA allege na mawingu.
  17. K

    Kwa Tukio hili la Ikulu, Hii tuna Utulivu au Amani Tanzania?

    Warioba kapewa na yeye tuzo?
  18. K

    Soda mbaya kuliko zote

    Acha uchochezi wewe.Nani kakulazimisha kuinywa?mimi hapa nakunywa peps ni tamu sana.
Back
Top Bottom