Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

Duuh!ndio maana nilipata mshangao alivyokuwa anaongea bila kujitambua,Hapo mibunge ya ccm full kupiga meza,halafu huyu atutungie sheria au achangie kwenye bajeti ya madin au elimu au afya!
Weka na CV ya mzee wa shanga na nguo za ndani tulinganishe tuone nan zaid, au nyani haoni kundule
 
Rudini kwenye rejea ya katiba - hatuchaguwi kwa kuwa alipata A, B au C katika masomo yake isipokuwa sifa ya pekee ya kikatiba ni kujua kusoma na kuandika. Hivyo huyu mbunge hatuwezi kumdisikolifai kwa elimu yake.
Ndio maana Magufuli ilibidi a out source masters na PhD zake. Elimu husaidia uwelewa wa mtu na inapatikana kwa kwenda shule, iwe formal or informal. Hekima na busara hutoka kwa Mungu. Ukiwa huna elimu na Mungu hajakujalia hekima, siku zote utaonekana unaongea pumba.

Hata hivyo alichokiongea huyu Mh. ni msimamo wa serikali. Na pia sio kila mbunge anayesimama kuongea kitu anakuwa anaongea wazo lake binafsi, wengi wanasakiziwa.
 
Mbona kuna wengi wamekataa bunge live ambao wamefaulu vizuri? Ukishakuwa chama XX haijalishi una PhD au Diploma, ni samaki waliooza katika kapu moja.
 
ukichunguza elimu za wabunge wa ccm unaweza kutoa machozi............
kwaninaowajua wachache ni aibu mnooooooooooooo
lafu wapinge hoja za mtu mwenye masterz ya law,.lazima mtu abwabwaje upuuz kw kujigwaya
vilaza wafisiem niwengi mno
 
Full kuunga unga........


Kuunga unga si hoja hoja ni kuwa je anavigezo..


Ukisema kuunga unga unaweza kuwa hata baba yako pengine umemtusi, au mnjomba wako.
Kwasababu wapo wakuu wanaosoma sasa, si kuwa hawakutaka kusoma bali ni ugumu wa maisha wa wazazi wao kuwawezesha kulipa ada hivyo ikawapelekea hadi ukubwani watoto ktk kubangaiza wakawa wanajisomesha wenyewe.

Watoto wa watanzania wengi ni wakulima. Wamekulia ktk maisha ya taabu. Mtoto anatamani kusoma ila baba hana hela ya kulipa ada. Matokeo yake anakuja kusoma ukubwani.

Kuunga unga sio big deal...Je ktk hiyo kuunga unga amekidhi vigezo..Matokeo yake yako vipi?
 
kazaliwa 1978 na darasa la saba kamaliza 1994 kidato cha nne 2010 hadi afike chuo kikuu ndo itakuwa mwisho wa dunia

inaweza kuwa huyu alipomaliza STD 7 hakupata wa kumuendeleza...amejiendeleza ukubwani....Msimcheke sana jamani kuhusu unga unga yake..wkt mwingine changamoto za maisha kifedha ndizo zinazochangia mtu kuunga unga hivyo....... chekeni matokeo yake ndio jambo la msingi
 
Full kuunga unga........


hapo indipo inapokuja kuona tofauti ya Tajiri na Masikini ilivyo.....Dharau...Km wewe ulikua ukakuta wazazi wako wakikusomesha wako commited usifikiri ni wote....

Huwa aliyeshiba huwa hajui kuwa kuna mwenye njaa aenatamani hata kupata ugali bila mboga tuu hapati.
 
Mi nadhani cha muhimu hapa tuiombe serikali iweke sanamu la Diamond platnumz pale posta askari monuments na ya Ally kiba pale k/koo clock tower
 
Tuache kujadili elimu ya mtu, tujadili utendaji kazi wake kwa wanachi waliomchagua.
......Sasa huyo zero brain ana utendaji kazi gani wa maana kwa akili Kama hizo alizonazo?
Kazi yake ni kutetea ujinga tu ili mradi aweze kupitishwa tena ubunge viti maalum, jana tena kamuambia mbunge wa tarime anawashwawashwa baada ya heche kuhoji ujenzi wa uwanja wa ndege chato...
 
Back
Top Bottom