Search results

  1. Mwana wani

    Kwanini hivi lakini?

    Bongo kazi zipo nyingi tu tatizo madogo either vigezo hauna vya kupata ajira, GPA ndogo au hamjitumi kutafuta...ukuiwa na lower second au pass unafikiri nani atakupa ajira..so mimi nakushauri kama unavigezo vilivyojitosheleza wewe endelea kutuma maombi na muombe mungu ipo siku utapata..usikate...
  2. Mwana wani

    Wapi wanatoa mitiahani ya SISCO ?

    ccna na ccnp bongo hazina dili...fanya OCP afu nipm kuna kazi za kumwaga tu
  3. Mwana wani

    Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    congrats hONORABLE Prof Dr PRESIDENT Jakaya Kikwete...u deserve it
  4. Mwana wani

    Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    DAR ES SALAAM, Oct 11 (Reuters) - Tanzania has granted a licence to Vietnam-based telecoms operator Viettel to build a third-generation (3G) mobile phone network in the east African country, a senior official said. Viettel will compete with the four other main operators: Vodacom Tanzania, a unit...
  5. Mwana wani

    Vietell Tanzania (Telecom Company) inatafuta Corporate Key Personnel

    hivi viettel kazi zitaanza lini....maana interview tumepiga zamani kweli au hadi mwakani naomba ufafanuzi
  6. Mwana wani

    Mwenye mwangaza wa kutumia boom

    hakuna mtu wa kukuelekeza wewe jinsi ya kutumia BOOM...unatakiwa kutumia boom kwa matumizi yako yote muhimu kama kwa bahati mbaya likielekea kuisha piga pasi ndefu au kopa....utajifunza tu!!
  7. Mwana wani

    TCRA yadhamiria kufuta leseni ya DOVETEL (T) LIMITED

    asante sana kwa kunisahihisha...ni wamedhamiria kuifuta
  8. Mwana wani

    Clouds FM wasituchezee akili watanzania wapenda burudani

    Sioni kama kuna tatizo....sio lazima iandikwe kuwa anakuja bongo
  9. Mwana wani

    TCRA yadhamiria kufuta leseni ya DOVETEL (T) LIMITED

    Kutoka Tanzania Daima 07/10/2014 kampuni ya mawasiliano ya Dovetel (T) limited (zamani sasatel) imefutiwa leseni yake ya biashara..
  10. Mwana wani

    Waziri Nyalandu atanua na Aunty Ezekiel Marekani kwa fedha za Wizara ya Utalii

    kweli uzee siku hizi mwisho msata....mtu mzima namna hii miaka zaidi ya hamsini afu unaongea upumbavu...jiangalie umri umeenda acha kujifananisha na kina diamond zama zako zimeisha kuwa mstarabu...duh kweli like father like son
  11. Mwana wani

    System Administrator, Road Fund

    mimi ninaexperince miaka mitatu..nina CCNA na MCSA ila hivi vyeti vyote wanavyoviweka nadhani nimaksudi tu kutuchuja watu....huwezi mtu ukawa na vyeti vyote hivi...
  12. Mwana wani

    Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

    tupia picha yako kwanza tukuone...
  13. Mwana wani

    DSTV yazindua kifurushi cha 17000, nafuu mno

    km DSTV haina supersport 3 kwenye kifurushi chake hamna haja ya kununua...maana ni afadhali kuwa na azam tv iko powaa kuliko icho kifurushi chao
  14. Mwana wani

    Kinana ameua kabisa upinzani

    wew muislamu feki hujui unachokiongea....ungelijua wala usinge ongea usenge
  15. Mwana wani

    Huyu ndiye Rais wa Tanzania 2015, hakuna ubishi

    Raisi ni mmoja tu....his excellency president Lowasa
  16. Mwana wani

    Shibuda: Ni bora niitwe msaliti kuliko kuwa mhaini kwa taifa langu

    Shibuda ni mtu makini sana sijawahi kufikiria kama mshikaji yuko vizuri kiasi hiki..big up bro
  17. Mwana wani

    Je hii inamaanisha pigo kwa ukawa?

    Kama leo ambavyo tumeona rasimu ya katiba imepitishwa kwa chereko wakati BMK ikihitimisha kazi iliyowaweka pale Dodoma.Mimi nami katika kuhitimisha naomba japo niulize je kupitishwa kwa hii katiba na staili ya upitishwaji wake unamaanisha nini kwa UKAWA. Je ni pigo takatifu kwa ukawa na hawana...
  18. Mwana wani

    Sitta wataje wajumbe wa UKAWA wote waliopiga kura za ndiyo kutoka Zanzibar

    watu tutaongea sana ilimradi katiba ipite tushughulikie vitu vingine...kuna ishu nyingi sana za kufanya
  19. Mwana wani

    Zipi takwimu sahihi za wajumbe wa bmk toka zanzibar??????!

    yaliyopita si ndwele tugange yajayo...
  20. Mwana wani

    UDSM: Hostels vs Kupanga Gheto

    hosteli udsm chafu sana sikushauri ukae km una hela yako...yapo magheto mazuri tu yametulia mitaa ya survey hapo....km mtoto wa mkulima inabidi ukubali maisha ya kubebana hamna jinsi tumetofautiana kwa kila kitu....
Back
Top Bottom