Huo ni upotoshaji wenye lengo na maslahi binafsi ya mtoa mada ambao unatakiwa kupuuzwa. Iweje baadhi ya wafanyakazi wathibitishe kulipwa halafu yeye ndo asilipwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika awamu hii management ya TTCL chini Waziri Kindamba inafuata nyayo za Mh. Rais JPM hakuna mchezo, hatua zinachukuliwa dhidi ya wote watakaofisadi mali ya umma na kuisababishia hasara Serikali kwa ufisadi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.