Search results

  1. surubu kwetu

    Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

    Chukua hiace Ndugu yangu tata wakukamatia gari yako bure kisha wanapiga mnada marejesho ya mkopo n 3.5m kwa mwezi alafu hiyo hesabu ya 200k kwa cku itakushinda utabadili madereva mpaka uchoke ruti inayoweza angalau kidogo no chanika-gerezani ila Bari itachakaa ndan ya mwaka tu
  2. surubu kwetu

    Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi

    Inawezekana waliomua ndo walifanya uchunguzi
  3. surubu kwetu

    Walimu wawili kwa ajili ya Tution wanahitajika, kwa masomo ya sayansi

    Chemistry and physics olevel and advance level Sent using Jamii Forums mobile app
  4. surubu kwetu

    Tunaodaiwa na tala tuwalipe haraka iwezekanavyo

    Unamaanisha nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. surubu kwetu

    Yoyote anaeuza Godoro 5*6

    Bei gan? Alafu aina gan? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. surubu kwetu

    VIFAA VYA UFUNDI UMEME NA MAGARI KWA BEI YA JUMLA.

    Naitaji diagnostic machine(scanner za magri) e-mail:benedictdatius gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
  7. surubu kwetu

    Mtoto wa Gadafi aomba support ya Urusi ili kuingia madarakani tena

    Ivi unajua sababu ya Gaddafi kuuwawa ukijua Italia mwenyewe wanaojua wanalia sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. surubu kwetu

    Maoni yangu juu ya Tanzania yangu

    Leo ikiwa ni Siku yangu ya kuzaliwa ningependa japo kidogo nizungumzie kuhusu Tanzania yangu.kabla ya yote napenda kuweka wazi Itikadi na msimamo wangu Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa Tanzania ila huwa nimfatiliaji wa siasa za Tanzania na duniani kwa ujumla baada ya kusema hayo...
  9. surubu kwetu

    Usafiri wa kutumia ungo upo wa aina nyingi

    Malengo yako yapi ushetani munaubili acheni ujinga
  10. surubu kwetu

    Kwa mwaka wa kwanza NIT

    Ndugu zangu nataka nipige apo nit dipl ya logistic&transport management jamani naweza pata msaada wenu ili nipate nafasi apo au nimechelewa naombe msaada wakuu mwenye dertails za jinsi ya kupata nafasi 0756773023 no yng benedictdatius@gmail.com Kwa mawasiliano zaidi
  11. surubu kwetu

    Aliye msafi ndani ya CCM ajitokeze hapa au mtajeni tuujadili usafi wake

    Ingawa mimi sio mwana Ccm ila ungesema awamu ya nne akuna aliyemsafi tungekubaliana na weww tena walio madarakani ila nyuma kulikuwa viongozi wasafi kama wafuatao 1:WARIOBA 2:SALMU AMED SALM 3:BUTIKU 4:KARUME
  12. surubu kwetu

    Hivi mmiliki wa TSN supermarkets ni nani?

    Huyu jamaa namfaham kwa jina la ALI ni mfanyabiashara wa supermarket na mafuta yeye ndiye anayesambaza mafuta kwenye minara za simu karib tanzania nzima kuna magari ya kusambaza mafuta huwa yameandikwa NEWL hii ni kampuni ambayo huyo mmiliki wa TSN wanawapa mafuta ili wasambaze kwenye minara za...
  13. surubu kwetu

    Kesi ya Dowans imefikia wapi?

    Ndugu zangu naomba kujuzwa kesi ya dowans kwa yoyote anayeijua imefikia wapi au tumekwisha walipa maana swala la dowans limekuwa kimya uwenda wamekwisha wapa rushwa wabunge ili walizime tujuzane ndugu kwa mwenye taarifa
  14. surubu kwetu

    Ingekuwa wewe ungechukua maamuzi gani? ilihali bado anadai anakupenda na anakuhitaji

    Pole ndugu ata mm tatizo limenikuta tena mara nyingi ila ukweli ni kuwa bize na mambo yk apo anampenzi mwingine kutokana na uchunguzi niliyofanya mm kutokana na kukubwa na matatizo kma ayo
  15. surubu kwetu

    Msaada wa transfer ya chuo

    Ndugu zangu nilikuwa nimechaguliwa chuo cha tiba tandabui ila wafazili wangu wakakataa kunilipia ada ila nilikuwa nimekwisha lipa laki 4 je naweza pata transfer ya chuo af chuo ga naweza pata au nimechelewa msaada ndugu kwa mtu yoyote anayeweza kunisaidia atumie no 0756773023
  16. surubu kwetu

    Wadada nisaidieni kwa hili, Huwa hamtamani?

    Wengi makalio ndo ambali ya mjini
  17. surubu kwetu

    Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Mm binafsi niliwai kuwa na mpnz wanamna hiyo alinilazimisha nimuingilie kinyume na maumbile nilijali baadae nilikataa nilijalibu kumchunguza nikagundua anangalia porn zenye mambo ayo ivo mimi sishauri yafanyike mambo ayo
  18. surubu kwetu

    Marekani vs Cuba

    Naombe yoyote anayejua mahusiano ya nchi izo mbili nimekuwa nasikia ni maadui je nikwl af eti lile gereza la guantanama liko cuba na kwnn wakati ni la marekani
  19. surubu kwetu

    Nataka kusoma chuo, nianzie ngazi ipi?

    kwa hiyo unanishauri nirisiti kwan siwez kupata chuo
Back
Top Bottom