Search results

  1. Trimmer

    Tanga: Nani fahari wa jiji lako?

    Hello JF, Hawa ni miongoni mwa watu mashuhuri na maarufu sana nchini, wamefanya makubwa kwa nchi na kimataifa pia. Je, kati ya hawa nani anastahili kupewa "maua yake"? 1. January Makamba (waziri wa Nishati) 2. Ummy Mwalimu (waziri wa Afya) 3. Hamis Mwinjuma " mwanaFA" (msanii maarufu na ni...
  2. Trimmer

    Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

    Kutokana na kelele za walio wengi huku mitandaoni na jinsi tunavyojua kuwa Mama amekuwa ni wa kusikia sana habari za mitandaoni nategemea na binafsi nimeshajiandaa na haya machache kutokea. 1. Kuanzishwa tena kwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ambao tunajua kuwa moja ya masharti yake ni kuwa...
  3. Trimmer

    Christiano Ronaldo awekwa karantini

    Mchezaji wa Juventus ya Italia mreno Christiano Ronaldo amepelekwa karantini wakati wachezaji wenzake wakianza mazoezi baada ya kuwasili kutoka nyumbani kwake nchini ureno kufuatia ligi ya Seria A kusimama kutokana na ugonjwa wa Covid19,, Ronaldo atalazimika kukaa karantini kwa siku 14 kabla ya...
  4. Trimmer

    Wako wapi University Corner?

    Ni vijana kutoka pande za Mwenge waliotamba na ngoma kali ikiwemo iliyovuma sana ya T-shirt na Jeans. Ningependa kujua walipo na wanachofanya kwa sasa. Wajuvi tujuzeni.
  5. Trimmer

    Mbona wafanyakazi wanakunywa tu bia

    Nimesikia vilio na simanzi kwa wafanyakazi kote nchini kwamba mzee baba amegomea ongezeko la mshahara,, Lakini cha kushangaza hali ilivyo mitaani ni tofauti kabisa na nilivyotegea kwamba baada ya sherehe za maadhimisho hayo wangetulia tuli majumbani mwao kupanga yajayo,, Badala yake naona bar...
  6. Trimmer

    Tetesi: Startimes kuondoa channel za ITV, EATV na Star tv kwenye kisimbusi chao

    Yasemekana ni sababu ya kutokukubaliana kwenye mazungumzo ya kimkataba licha ya wizara husika kuingilia kati,, the saga continue,, pamoja na yote haya waziri mawasiliano na uchukuzi bado yuko madarakani,,
  7. Trimmer

    Je, kuna ukweli wowote juu ya hili,,?

    Ni katika round about ya CCM mkoa, katikati ya jiji la Mwanza, na kwenye huo mnala pichani kuna mlango. Sasa inasemekana kuwa mlango huo ukiingia kuna handaki ambalo linaenda na kutokeza Ikulu ndogo ya jijini Mwanza je, kuna ukweli wowote,,?
  8. Trimmer

    Kwanini watu hula bisi (popcorn) sehemu za sinema?

    Waungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,, Imekuwa ni kawaida sana kila ukienda katika kumbi za sinema kukuta bisi (pop cone) ndio kama official food huko pamoja na soda...
  9. Trimmer

    Nimewapiga wote na kesho shaurini

    Ndio ilibidi niwapige wote ili waache ugomvi uishe.. Ilikuwa hivi... Mke wangu yuko kwenye bifu kubwa na mwanamke mwingine jirani yetu siku nyingi wamekuwa katika bifu ambalo kiukweli hata sijui kwanini wamefikia hatua hii ya kurushiana makonde.... Yaani nafika tu hivi home mara nakuta hao...
  10. Trimmer

    Top 10 ya wagombea ubunge wa CCM wenye nafasi kubwa ya kushinda

    Ni kama wanasubiri kuapishwa tu. 1.Shaniff Mansool. Kwimba 2.Kangi Lugola. Mwibala 3.Joseph Musukuma. Geita vijijini 4.Aziz Abood. Morogoro mjini 5.Hussein Bashe. Nzega mjini 6.Deo Filikunjombe. Ludewa 7.January Makamba. Bumbuli 8.Ridhwani Kikwete. Chalinze 9.-- 10.-- Ongezea...
Back
Top Bottom