Search results

  1. Ndesalee

    Tovuti ya CRDB bank

    Wakuu hii tovuti sijui ishadukuliwa, mana huu ujumbe sio wa kawaida
  2. Ndesalee

    Ratiba ya wiki ya inafrika band

    Wakuu habari zenu, naomba kujua ratiba ya kutumbuiza ya band ya inafrika band hasa mwisho wa juma huwa wanapiga hotel/mahali gani.?!
  3. Ndesalee

    Msaada: Taratibu za kuanzisha NGO

    Habarini wakuu. Nina mpango wa kuanzisha NGO kwa ajili ya kusaidia kundi la watu wenye mahitaji maalumu kama vile walemavu wa viungo, ngozi, usikivu na macho. Walengwa ni umri wa miaka 1-35. Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa na mambo ya kuzingatia.
  4. Ndesalee

    Msaada: Office Hand Over Template

    Wasalaam waungwana. Naombeni kujuzwa namna ya kuandaa "Office Hand Over Document/Barua ya kukabidhi Ofisi" Mimi ni mtumishi wa Umma nimepata uhamisho sasa nataka kuandaa hiyo document sina uelewa mpana wa vitu vya kuweka katika hiyo document. Karibuni..
  5. Ndesalee

    Msemo Fikirishi: Mchepuko wako ni njia kuu ya mwenzio

    Ukiitafakari kwa makini huu msemo utagundua kuwa hakuna haja ya wapenzi kuwa na michepuko, mana huko unapochepukia ndio njia kuu ya mtu mwengine. Ni sawa na ile nahau isemayo "Ganda la muwa la juzi, chungu kaona mavuno"
  6. Ndesalee

    Msaada: Matumizi ya neno Next of Kin (NOK)

    Hili neno huwa linatumika sana katika wakati wa ujazaji wa nyaraka mbalimbali mf. Mikataba ya ajira,hospitalini,mauziano ya vitu n.k. Swali langu naomba kuelimishwa "implication" yake hasa ktk mikataba mbalimbali,je huyo anayekuwa NOK ndio atakuja kuwa mrithi wako pindi utapofariki.?!
  7. Ndesalee

    Mpesa na makato ya mwezi kwa utunzaji wa akaunti

    Habarini wadau. Juzi nimepokea sms toka Vodacom kuwa nitakatwa tshs 300. Hii imekaaje jamani,kwani ni lazima tuwe tunatumia mpesa mara kwa mara ktk kufanya miamala yetu.?! SMS yenyewe hii hapa; Utakatwa Tsh 300 kama gharama ya mwezi ya kutunza akaunti ya M-Pesa kutokana na kutotumia akaunti yako...
  8. Ndesalee

    Msaada: Pete ya ndoa imetumbukia chooni

    Habarini wana jamvi. Naombeni msaada pete ya ndoa imetumbukia chooni na imeshaflashiwa. Je kuna namna ya kuweza kuipata. Leo ni siku ya 06 tangu tukio hilo litokee.
  9. Ndesalee

    Enzi hizo Box 2

    Huo ndio ulikuwa mkoko wa kutubeba kwa safari za mjini & shamba.
  10. Ndesalee

    Mwajiri kuzuia kutoa ruhusa ya kwenda kupiga kura

    Wanajamvi hivi ni haki kwa mwajiri kukataa kutoa ruhusa kwa mfanyakazi wake kwenda kupiga kura nje ya kituo cha kazi?
  11. Ndesalee

    Kuna ukweli?

    Tutafakarini pamoja
  12. Ndesalee

    Mmhh hii kali

    Sijui wadau mnasemaje
  13. Ndesalee

    Red Carpet KTMA 2015

    Kama kawaida yake..
  14. Ndesalee

    China vs German products

    Hapa ndio "value for money" inapoji-dhihirisha.
  15. Ndesalee

    Enzi hizo

    Tiririkeni wadau..
  16. Ndesalee

    Birthday

    Happy day to me.
  17. Ndesalee

    Kuelekea Valentine day

    Mkuu akitafakari
  18. Ndesalee

    John Kisomo

    Hii sijui ni chuo gani jamani.?!
  19. Ndesalee

    Mnyama anauliza

    Wanajamvi leteni jibu
  20. Ndesalee

    Mtenda Hutendewa.

    Ndio ilivyo siku zote..
Back
Top Bottom