Msaada: Taratibu za kuanzisha NGO

Ndesalee

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
1,085
513
Habarini wakuu. Nina mpango wa kuanzisha NGO kwa ajili ya kusaidia kundi la watu wenye mahitaji maalumu kama vile walemavu wa viungo, ngozi, usikivu na macho. Walengwa ni umri wa miaka 1-35. Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa na mambo ya kuzingatia.
 
Sasa hivi unasajiri online.ingia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani..Viongozi lazima wawe na namba za NIDA
angalia hii attached doc,itakupa mwongozo.kama unataka katiba ni PM ntakuandalia kwa malipo kidogo
 
Attachments

  • NGO_Roundtable_Presentation_Registrar_of_NGOs_May2012.pdf
    1.3 MB · Views: 133
Sasa hivi unasajiri online.ingia tovuti ya wizara ya mambo ya ndani..Viongozi lazima wawe na namba za NIDA
angalia hii attached doc,itakupa mwongozo.kama unataka katiba ni PM ntakuandalia kwa malipo kidogo
Ahsante sana mkuu. Wacha nisome kwanza hii doc ulonipa. Nitakutafuta mkuu kwa katiba usijali.!!
 
Habarini wakuu. Nina mpango wa kuanzisha NGO kwa ajili ya kusaidia kundi la watu wenye mahitaji maalumu kama vile walemavu wa viungo, ngozi, usikivu na macho. Walengwa ni umri wa miaka 1-35. Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa na mambo ya kuzingatia.
Njoo nikuuzie ya kwangu
 
Ndugu umefikia wapi na NGO?
 
Back
Top Bottom