Ratiba ya wiki ya inafrika band

Ratiba ya wiki ya inafrika band

Ndesalee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
1,092
Reaction score
522
Wakuu habari zenu, naomba kujua ratiba ya kutumbuiza ya band ya inafrika band hasa mwisho wa juma huwa wanapiga hotel/mahali gani.?!
 
Wanakuwaga Cape town fish market kwani si ndo yuko bizman...!nilisahau jina la huu mgahawa!
 
Wanakuwaga Cape town fish market kwani si ndo yuko bizman...!nilisahau jina la huu mgahawa!
Ipo wapi hiyo hotel. Au kama upo na namba za mwanamuziki wao mmoja naomba mkuu.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom