Search results

  1. kichwat

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    swali lina mantiki
  2. kichwat

    Uhusiano kati ya Uislamu na kufuga ndevu nyingi

    The Islamic Perspective Of The Beard
  3. kichwat

    Rav 4 new model vs Vanguard

    Toyota Vanguard Vs Rav4 - Price, Specs And Fuel Consumption In MPG | Japanese Used Cars | SBT JAPAN
  4. kichwat

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Kesi kwisha.
  5. kichwat

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Ronaldo mfananishe na Griezmann au Hazard
  6. kichwat

    Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Messi hafananishwi.
  7. kichwat

    Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

    Hiyo list ni upuuzi wa Kimarekani kwa ajili ya Wamarekani.
  8. kichwat

    What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

    Hii kitu imerudi tena kwa kasi. "For the position, the organization requires your latest Psychometric ACPTS score as per the desired qualifications but given the geographical separation, as the recruitment is being done here in the USA, we are unable to conduct the same. We request you to...
  9. kichwat

    RC Makonda anatumia msafara wa magari zaidi ya 35

    ...RC ameanza siku 7 zilizopit . na atamaliza keshokutwa. Hao wengine hatukuwaona kabla, labda tutawaona baadae. Yote heri kwa mwananchi.
  10. kichwat

    Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Mwisho wa siku ukali wa Kifaa uko kichwani mwa mtumiaji. Kuku hata awe na simu kali kiasi gani atabaki kuwa kuku tu. Jiamini na mambo yako.
  11. kichwat

    Kila nikifanya attempt naangukia kwa divorcee, single mother au mke wa mtu, why?

    Tatizo UMRI. Unakutana na watu wa umri wako (umri wa kuzaliwa au umri wa experience)
  12. kichwat

    Katuni ya Gado ikimhusu Rais Magufuli yatwaa Tuzo ya Dunia ya Amani ya Umoja wa Mataifa(UN) Geneva

    Mleta Uzi, R.B umeweka title inayopotosha kwa makusudi ili utupotoshe sisi VILAZA. Tuzo ya Gao ni kwa sababu hii: Geneva . 05/03/2016 In order to celebrate the World Press Freedom Day on the 3rd of May, the Cartooning for Peace Swiss Foundation and the City of Geneva present the 2016...
  13. kichwat

    Windows 10 inazingua PC yangu

    Ni kweli kabisa. HP yangu pia ina tatizo hilo, haizimiki hadi ubinye power button kwa dk 1+. Ukizima kawaida inakula chaji yote. Sijui tatizo ni mini. Natumia Win 8.1.
  14. kichwat

    TANZIA Mmiliki wa baa maarufu Magomeni, Hussein Macheni ameaga dunia ghafla nyumbani kwake

    . ...moyo ukisimama ndo basi tena huwezi kumiliki chochote, labda makaratasi ndio yatamiliki. Ukweli ndio huo.
  15. kichwat

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    ...naamini kila mtu ameandikiwa siku yake. Siku ya Dereva ikifika utamwona anaendesha upande wa kulia full speed.
Back
Top Bottom