Habari zenu wana JF...sikupata forum nyingine yeyote zaidi ya hii kuwasilisha hoja yangu...
Nataka kujua kama yupo yeyote aliyewahi kununua online kupitia kwa "e-bay" na akaipata hapa TZ mzigo wake...maana hawa jamaa huwa hawafanyi shipping outside US..
Wanauza vifaa bei nzuri...
Kuna kidude kinauzwa 20,000 Fundi anakufanyia installation kwenye redio ya gari unaweza ukapata frequency zaidi....watafute wauzaji wa redio za magari huko lumumba na kwingine...mie ninaitumia.
I am a Tanzanian male studying at a local higher learning institution for a degree in Accountancy...looking for a field attachment for a period of two months beginning August 2011...can be on any terms either paid or unpaid...location to work: Dar es Salaam. Please contact...
Manual settings haitakubali.....ni bora upige simu Customer Care ili wai-activate internet kwa ajili ya line yako....halafu ndio uweke manual settings yeyote hata ya vodacom itafanya kazi....kama kwangu....
Habari zenu wakuu....ningependa kuweka ujuzi wangu hapa.....na pia nina maswali.....
Credit card ya Exim (ambayo mie ninayo)...kuna Silver (min. Balance ni 1m na unaweza kutumia hadi laki 8)...na Gold (min. Balance ni 3m)....
Hiyo Tembo Visa Card ni kutoka benki gani?...min. Balance kiasi...
Asanteni kwa ushauri wenu....nilipiga cmu customer care...wakaniunganishia intaneti huko huko kwenye kompyuta yao bila kutuma settings kwangu...mhudumu kaniambia ku reboot cmu..kisha nijaribu...nilikuwa na settings za voda kwenye cmu yangu...na nimefanikiwa kutumia net ya airtel kwa settings za...
Naomba mtu yeyote anisaidie na manual settings za mtandao wa zain/airtel maana nimehangaika kutuma meseji 232 bila mafanikio...simu yangu ni Nokia E72, nitahitaji CONNECTION NAME, ACCESS POINT NAME, AUTHENTICATION, HOMEPAGE, NETWORK TYPE, PHONE IP, DNS, PROXY...nimejaribu kucheza nazo lakini...
Habari zenu kaka/dada zangu...majina ya waliochaguliwa na vyuo vikuu yameshatoka huko vyuo vingine kama IAA, Ruaha na mengine yakielekeza kinachofuata yaani kuchukua admission form na mengine...lakini wakina IFM na MZUMBE mbona wako kimya??...yeyote aliye na taarifa naomba mnijulishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.