Nini kinachofuatia IFM na MZUMBE baada ya kuchaguliwa na TCU ???

sniper619

Member
Feb 24, 2010
12
0
Habari zenu kaka/dada zangu...majina ya waliochaguliwa na vyuo vikuu yameshatoka huko vyuo vingine kama IAA, Ruaha na mengine yakielekeza kinachofuata yaani kuchukua admission form na mengine...lakini wakina IFM na MZUMBE mbona wako kimya??...yeyote aliye na taarifa naomba mnijulishe...
 
Back
Top Bottom