Search results

  1. Kwiyo

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Pata nakala ya Gazeti la Wajibika linalotoka kila siku ya Jumatatu ambapo wikii hii kuna kali zifuatazo: -Wanaomhofia Lowasa kugombea Urais Watajwa pamoja na kuoneshwa picha zao. -Mnunuzi viungo vya Albino akamatwa na kiganja Dar. -Majengo ya Umma yanatesa walemavu -Gesi asilia kuifanya...
  2. Kwiyo

    Watatu wanyongwa mkoani Kilimanjaro na kisha maiti zao kutelekezwa

    Daah Watu wameishiwa na huruma na kufanya wenzao kama kuku. Naomba kufahamu tukio hili limetokea siku gani maana naona muda tu,lisije likawa n matukio ya zaman
  3. Kwiyo

    Alikiba Chekecha Cheketua (Here is the song)

    Baada ya kufanya vizuri kwenye single yake ‘Mwana’, Ali kiba time hii ametusogezea hii single mpya Chekecha Cheketua aliyoiachia leo rasmi Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja Nyimbo Mpya: Alikiba- Chekecha Cheketua Download na Usikilize Bureee ~ Sbm Broadcast
  4. Kwiyo

    Nafasi za Kazi Mpya Leo

    Super Brain Media inapenda kukutangazia nafasi ya kipekee kwa wale wote wenye uwezo wa kufanya vipindi vya Television (TV), Radiokutuletea Demo ya kipindi ambacho kitakuwa kinamaadili mema kwa Jamii kwa ujumla na kiwe hakijawahi kufanyika popote pale. kwa zaidi fungua hapa...
  5. Kwiyo

    Hayati Mwalimu Nyerere sio CCM

    Swali la kizushi kwako leo... Je,? Umewahi Kuiona Picha Ya Mwl,' NYERERE Akiwa Amevaa Sare ya CCM ? Tafuta Popote Dunian Ukipata Kuna Zawadi.. Kama Ukishindwa Muulize Mwenzio Kama Hakuna Jiulize Kwanini?
  6. Kwiyo

    Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Yaan ni balaa tupu nchi yetu sijui wapi inapoelekea maana askar barabaran hili tatz wanarifumbia macho
  7. Kwiyo

    Ajali ya basi Kahama yachukua uhai wa baadhi ya abiria

    Watu wa nne wamefariki Dunia na wengine 44 kujeruhiwa kufuatia ajali ya Basi la Abiria la Wibonela liliokuwa likitokea Kahama Kuja Dar es Salaam kujaribu kulipita gari lililokuwa likifukuzana nalo na Hivyo kumshinda nguvu Dreva na kusababisha ajali katika eneo la Phantom Mkoani Kahama...
  8. Kwiyo

    Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    nawashukuru ndugu zangu wana Jf kwa kunijuza hilo maana nilidhan wameshaitwa kimya kimya Ila atakaepata feedback mpya atujuze nasi
  9. Kwiyo

    Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    habari za mchana wana jf hivi jaman kuna Mtu yeyote aliye na tetesi juu ya lini majina waliomba ajira jeshi LA polisi kwa upande Wa professional
  10. Kwiyo

    Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Me sijaelewa badoo vzr hiyoo miili ndio walikua wants I Chang any is kwenye kuku supermarket amaa Nyama za supermarket zilizopindwa au kusagwa zichunguzwe jaman huh ni unyama interchick jaman
  11. Kwiyo

    Ndege yatua kwa dharura katikati ya barabara Uganda

    Baada ya habari za ndege ya Malaysia airline hivi sasa ajali nyingine imetoka karibu kabisa na Tanzania ambapo ni nchini Uganda. Ndege hiyo ambayo ilikuwa imebeba wanajeshi 6 wa Marekani wakitoka Entebe kuelekea South Sudan imetua kwenye barabara ya magari baada ya hitilafu kutokea ikiwa hewani...
  12. Kwiyo

    Ndege yatua kwa dharura katikati ya barabara Uganda

    Maswala ya form gani hapa si mahala pake
  13. Kwiyo

    Ndege yatua kwa dharura katikati ya barabara Uganda

    Kweli dat y sijajua chanzo n nn hasa japokuwa chanzo cha habar yng kinasema ndege hyo ilipatwa n hitilafu dat y ikatua ghafla katika barabara
  14. Kwiyo

    Ndege yatua kwa dharura katikati ya barabara Uganda

    Jamn wana Jf kulikoni tena kilichotokea huko Uganda kwa ndege iliyobeba wamarekani 6 kutua katikati ya barabara ?
  15. Kwiyo

    Nimesikitishwa na Rais Kikwete

    Soma taarifa hii ya IKULU ya Dar es salaam kuhusu Bomu la Zanzibar TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo...
  16. Kwiyo

    SUPA STAA wa The Mboni Show ni mmoja wa wahanga wa ajali hapa Gairo.

    Ndug vip huko hospital umepata taarifa gani na je kuna ukweli wowote kuwa katika ajali hyo yupo na mwanalisa na vip hakuna tuliyempoteza plz tujuze ndg jf
  17. Kwiyo

    Vyuo vya Uandishi wa Habari - DSM

    But walishajirekebisha cuz walpewa mda wa miez 2 tokea mwaka jana mwez wa 7 so mpaka nw wapo vzr tu msiwatishe wanaotaka kuingia katk tasnia ya habar umuhimu n kupata kaz nasio chuo waweza pata chuo kizur lakn chet kikariwa na panya kabatini
  18. Kwiyo

    Vyuo vya Uandishi wa Habari - DSM

    Hahah mpandana
  19. Kwiyo

    Hatimae uhamiaji yametimia

    Mkuu tujuze aibu kivip mbn kimya
  20. Kwiyo

    Dozi

    Karbu sana
Back
Top Bottom