Kwiyo Member Joined Mar 9, 2014 Posts 64 Reaction score 11 Dec 19, 2014 #1 Swali la kizushi kwako leo... Je,? Umewahi Kuiona Picha Ya Mwl,' NYERERE Akiwa Amevaa Sare ya CCM ? Tafuta Popote Dunian Ukipata Kuna Zawadi.. Kama Ukishindwa Muulize Mwenzio Kama Hakuna Jiulize Kwanini?
Swali la kizushi kwako leo... Je,? Umewahi Kuiona Picha Ya Mwl,' NYERERE Akiwa Amevaa Sare ya CCM ? Tafuta Popote Dunian Ukipata Kuna Zawadi.. Kama Ukishindwa Muulize Mwenzio Kama Hakuna Jiulize Kwanini?
gkileo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 1,096 Reaction score 487 Dec 19, 2014 #2 https://www.google.com/search?q=nye...li-kuhusu-mwalimu-nyerere-na-ccm.html;199;240
mjepo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 4,913 Reaction score 919 Dec 19, 2014 #3 Kwiyo said: Swali la kizushi kwako leo... Je,? Umewahi Kuiona Picha Ya Mwl,' NYERERE Akiwa Amevaa Sare ya CCM ? Tafuta Popote Dunian Ukipata Kuna Zawadi.. Kama Ukishindwa Muulize Mwenzio Kama Hakuna Jiulize Kwanini? Click to expand... Mkuu akili yako ya kawaida sana nadhani mada yako itaishia hapa cheki kitu hiki.
Kwiyo said: Swali la kizushi kwako leo... Je,? Umewahi Kuiona Picha Ya Mwl,' NYERERE Akiwa Amevaa Sare ya CCM ? Tafuta Popote Dunian Ukipata Kuna Zawadi.. Kama Ukishindwa Muulize Mwenzio Kama Hakuna Jiulize Kwanini? Click to expand... Mkuu akili yako ya kawaida sana nadhani mada yako itaishia hapa cheki kitu hiki.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,070 Reaction score 137,934 Dec 19, 2014 #4 mjepo said: Mkuu akili yako ya kawaida sana nadhani mada yako itaishia hapa cheki kitu hiki. View attachment 212085 Click to expand... mkuu hii photoshop wapelekee mademu zako
mjepo said: Mkuu akili yako ya kawaida sana nadhani mada yako itaishia hapa cheki kitu hiki. View attachment 212085 Click to expand... mkuu hii photoshop wapelekee mademu zako
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,800 Dec 19, 2014 #5 orginal yake hii hapa!
LENGIO JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 1,096 Reaction score 508 Dec 19, 2014 #6 Jambazi said: orginal yake hii hapa! Click to expand... Jf kiboko mmbea apenye.