Dozi

Kwiyo

Member
Mar 9, 2014
64
11
Usije kariri hata siku moja kwamba 3x1 ni sawa na 1x3 kama huamini kuwa si sawa fanya hivi kama una malaria kali nenda hospital wakikupatia qunine wakakwambia meza 1x3 wewe meza 3x1 hapo ndo utajua kwamba bodaboda inaweza kuwa ambulance.
Mchana Mwema.
 
hahahaaaaa umenifanya nicheke kwel uko juu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom