Search results

  1. arola54

    Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    Huyo aliyeleta thread nasikia kapigwa kipigo cha mbwa mwizi kwenye uchaguzi wa bavicha huko kigamboni. Badala ya kushawishi wanachama wa chadema wampigie kura ye alikua busy kutunga umbea ili akaupost jf.
  2. arola54

    Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

    Kawa mstaarabu tu kwa kumsitiri mwajiri wake ila ukweli ni kwamba lile chaka ninalipa kiduchu sana.
  3. arola54

    Yericko Nyerere ashindwa Uchaguzi CHADEMA

    Tatizo hao vijana wa bavicha na mashabiki wao wamekalia kutafuta umaarufu wa kijinga kwenye mitandao ya kijamii wakati wenzao wanaojitambua wako kitaa wanajiwekeza kwa wanachama hai. Hiyo picha ya yerere ndio taswira halisi ya chadema. Wako busy kwenye mitandao wanawatukana waasisi wa taifa...
  4. arola54

    Ruaha Iringa: Ofisi ya CHADEMA yachukuliwa na CCM baada ya kufukuzwa

    Nilipita pale bukoba wiki jana nikakuta wanapanga kwenye container pale kibeta opposite na nyumbani kwa gaidi lwakatare.
  5. arola54

    Ngome yenu ikisogelewa na maadui vitani, kila aina ya silaha itatumika

    Inawahusu hata misukule wa ufipa. Jamaa kaubalansi mzani usitake kumchagulia upande, au hujausoma vizuri uzi wake. Funguka kijana acha kuwa mtumwa wa wanasiasa. Hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na maisha yako. Wote wachumia tumbo kama wewe ulivyo mchumia tumbo kupitia shughuli yako.
  6. arola54

    Mwigulu Nchemba: Nimeombwa kugombea Urais 2015

    Kaka maendeleo ni mchakato usiokuwa na mwisho. Hata marekani bado wanaendelea kutafuta mafanikio zaidi. Usitegee awamu ya Kikwete kama ndo imalize matatizo nchi nzima kwa awamu ya mihula miwili. Hata nchi zilizoendelea angalia zimepata uhuru lini, ni miaka kibao. Hata ukileta wazungu...
  7. arola54

    English mbovu ya Linah inatia Aibu

    Wala usisumbuke kujibizana nao. Hao ni vijana wa ufipa bange na viroba imekua sehemu yao ya maisha.
  8. arola54

    Bin Zubeiry ni mchonganishi

    Wameambukizwa na chadema.
  9. arola54

    Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

    Kuna point moja kaisema ya aina 3 za wanachama wa chadema. Ile ya mwisho kasema, WANACHAMA WENGI WA CHADEMA NI MAZWAZWA.... hahahahahaha te te teeh
  10. arola54

    Mjue Bakhresa katika picha na matajiri wenzake 10 waliopo Tanzania

    Hiyo picha iliyotumika hapo kwa bakhresa ni ya mdogo wake sio bakhresa orginal mwenye mali. Hakuna media hata moja yenye picha yake na anatembeleaga viwanda vyake mara chache sana. Muda mwingi anapumzika nyumbani kwake kutokana na matatizo ya kiafya, kwan umri umemtupa mkono kidogo hivyo nguvu...
  11. arola54

    Kiingilio kwenye show za diamond kimepanda sasa ni 50,000 /=

    Ila nahisi show yao itakua imefulia make hata kule instagram hawajaweka picha wakati sio kawaida yao. Make hata kama dangote ana.kuny.a lazma atupie picha yake. Kila akifanyacho anatupieko. Hata show zote lazma wakaiweke instagram ila hii ya tunduma kaishia kuweka picha za barabarani wakawi...
  12. arola54

    Polisi wamshughulikie Mchange katika mambo haya 10...

    Hata mie nimeiogopa chadema. Hawana tofauti na ISIS ya kule Iraq.
  13. arola54

    Njombe wamewakubali Mbowe na Dr. Slaa wakubalika kuendelea kuiongoza CHADEMA

    Si kuwa hawajielewi. Sema wanatumika kama kondo.mu.
  14. arola54

    Mkutano wa Act Kigoma cineatlas ujiji wazomewa

    tunawaomba na chadema waweke picha za mkutano wao uliofanyika mwanga centre jana. Jamaa walizomewa live ila wameamua kujifariji kwa drama zao za uongo kama kawaida.
  15. arola54

    Mkutano wa Act Kigoma cineatlas ujiji wazomewa

    Huyo mleta mada mwongo sana wala hakuna mtu aliyezomewa. Na mkutano umeisha salama.
  16. arola54

    Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Mchange na mbali ya kuonekana hana uzoefu wa kufanya mazungumzo kwenye media lakini alichokua akikiongea kaonyesha anakijua zaidi. Nimeiogopa chadema.
  17. arola54

    Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Mnyika anaongea kwa kujistukia. Ana haya usoni kana kwamba anachotuhumiwa ndiyo ukweli.
  18. arola54

    Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

    Asante Sana kwa taarifa.
  19. arola54

    Kiingilio kwenye show za diamond kimepanda sasa ni 50,000 /=

    Kalia kujifariji na huyo marehemu wakati kwenye soko la hisa dangote anazidi kupanda dau.
Back
Top Bottom