kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,035
- 326
Bakwata ipo kuwagawa hawa waislam.Na ndicho kitu kinachofanyika.Bakwata ingekua ni taasisi yenye weledi maendeleo ya jamii ya waislam yangekua mbali sana
Tuache kuwalaumu Bakwata kila mara kuhusu kujenga Vyuo vikuu au maendeleo ya elimu. Hivi katika nchi za Kiislamu ni nchi gani iwekeza kwenye Elimu ya juu au kuthamini elimu. Saudi arabia. Iraq. Pakistan. Somalia. Oman. Palestina .....etc. Au mfano hai kuna wa tz wengi tu nawafahamu ni muslim walikuwa na uwezo wa kusoma . Walikuwa na akili. Walikuwa na nafasi. Na hawakusoma . Na sasa wanailaumu bakwata.