Kiingilio kwenye show za diamond kimepanda sasa ni 50,000 /=

Ali kiba ndio habari ya mujini kwa sasa

1932216_786539411367875_1119449236240705355_n.jpg
 
Wanaangalia credibility ya mtu soko la shigongo ni uswazi na watu wasiojielewa like mabeki tatu na niangusagee yaani vilaza first class ndio wateja wake.....mtu ambaye ni GT huwezi kumpa habari kama hii akakuelewa labda wew

umeoa beki3 nini manake manake unavyowaabudu imetosha sasa tumekuelewa
 
Proffesor anasema ... ushawah sikiliza mashairi ya ali kiba kwa vizur. . Anyway ali kiba ana mashairi mazur kusikiliza .. Diamond nyimbo zake n nzur kucheza ..

usinisemeee, usinisemee, usinisemee kama napenda kulaaa, nikapita sokoni, nikawaomba embe, nikaenda nalo bich kuwaringishiaaa, nikanunua mayai nikaanza kuwajambiaaa..........bwahahahauahahahahaaa, haki ya Mungu eti unakuta mtu mzima na ukomavu wake anajitoa ufahamu na kusifia huu upuuzi, jamani hizi team waachieni yanga na simba.
 
Ila nahisi show yao itakua imefulia make hata kule instagram hawajaweka picha wakati sio kawaida yao. Make hata kama dangote ana.kuny.a lazma atupie picha yake.

Kila akifanyacho anatupieko. Hata show zote lazma wakaiweke instagram ila hii ya tunduma kaishia kuweka picha za barabarani wakawi wanafanya matangazo ya kitaa.

Show itakua imefulia ndio maana anaona soo kuirusha insta.
 
Ha ha ha ndio ulimbukeni wenyewe huu unadhani ishu sana wakati king kiba yupo huku na nick minaji mwenye hits 50 billboard kumzidi Wacko Jacko......

Hivi hamjiulizi ataimb nini huko na kina minaj hao cinderela au dushelele?
 
Hamna kazi kweli kazi kutoa prom akafie mbali kaona skendo watu wamemshtukia anatafute kik zingine tutoleeni upuuzi wenu nendeni jukwaa la matangazo hapa tuanataka post za maendeleo
 
historia anayoitengeneza diamond katika music itachukua miaka mingi sana kuvunjwa!...iwe anajua kuimba au hajui,iwe ana mashairi mazuri au hana!jamaa anatengeneza pesa inayomfaa yeye na ndugu zake kutumia kipaji chake kihalali kabisa!..............wanaomchukia diamond walikuwepo hata enzi za marijani rajabu na mbaraka mwishehe!
 
Back
Top Bottom