Search results

  1. Mbwa dume

    Kesi ya mauaji ya mrembo mfanyakazi wa Benki iliishia wapi?

    Kuna habari ilitrend sana humu kipindi cha miezi kadhaa iliyopita ambapo ilikuwa inahusu mauaji ya kutatanisha ya mrembo mmoja huko Kibaha kama sikosei ambaye alitekwa na wasiojulikana kisha mwili wake kuchomwa moto hii kesi iliishia wapi? Kwa habari zaidi: Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa...
  2. Mbwa dume

    Ulianzaje kuvuta bangi?

    Mie nilianza rasmi kuvuta bange miaka ya 2001. Iko hivi: Baada ya kufeli darasa la saba mwaka 1998 (sababu sikuwa na akili darasani) kipindi hicho mzee akamind sana ikabidi nisepe zangu mikoani kusaka mishe. Nimepiga zangu mishe mishe za town miaka kadhaa ndo nikakutana na jamaa mmoja...
  3. Mbwa dume

    Nilitembea naye kweli, akapata mimba... Lakini natatizwa na hili

    Tukiwa tumebakiza siku au masaa kadhaa kuuaga mwaka 2022 nakuja mbele yenu na hiki kisa: Kuna kabinti flani kalikuwa kanasoma chuo flani hapa Dom nilikuwaga na mahusiano nako miaka ya nyuma badae tukaja kuachana kama mnavyojua vidada vya chuo huwa vina mambo mengi. Sasa mwanzoni mwa mwaka huu...
  4. Mbwa dume

    Kizazi cha sasa majanga!

    Tuko kwenye kizazi ambacho mdada ana-date na Frank kwa zaidi ya miaka mitano, shoga zake wanamjua Muddy, nyumbani kwao wanamjua Juma tangu shule. Wakati huo amemtambulisha Ibra kwa shangazi yake, amechumbiwa na Omary, akazalishwa na Collin, analipiwa kodi na Masanja, amezaa na mme wa Anna...
  5. Mbwa dume

    Huu ndio ukweli mchungu! Wanawake wa kijijini wana ladha ya asili

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa. Natumaini mko swafi na mnaendelea kuupiga mwingi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada Kuna kautafiti binafsi nimekafanya ili kuona tofauti kati ya mbususu pori na hawa madada wa mjini a.k.a. Slay queens. Nilichogundua mabinti wa kijijini (mbususu...
  6. Mbwa dume

    Mkiamua kuachana ni vizuri kuachana kwa amani maana hujui kesho yako

    Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu! Mimi binafsi nilikuwaga najiamini nikimwacha msichana siwezi kurudiana naye lakini mwaka jana mwezi...
  7. Mbwa dume

    Kwa nini wabongo wengi hawana ustaarabu?

    Unakuta zile sehemu wameandika "ni marufuku kukojoa hapa" lakini unakuta laia tena mdingi mzima na kipala chake ameshika pipe anakojoa live mchana kweupe Tena wengine wanakunya kabisa unakuta kashusha mzigo mkubwa umejikunja kama coil mzigo wa kilo tano halafu linasepa Halafu mbaya zaidi...
  8. Mbwa dume

    Natafuta pikipiki TVS au BOXER used

    Kichwa cha habari chajieleza, niko Dodoma mjini natafuta pikipiki used iwe boxer au Tvs Budget yangu milioni moja cash. Ikiwa uko hapa Dom au mikoa ya jirani itapendeza. Uzi tayari. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mbwa dume

    Kuna yeyote humu amewahi kushinda mamilioni ya michezo ya bahati nasibu?

    Naamini humu kuna watu wengi wa sehemu mbalimbali. Binafsi sijawahi kuiamini hii michezo ya Tatu Mzuka, Biko, kwamba watu wanashinda mamilioni! Hivyo kama kuna yeyote humu amewahi kushinda au ndugu, rafiki wa karibu amewahi kushinda hizo milioni zinazotangazwa (tofauti na vocha za buku) tujuzane...
  10. Mbwa dume

    Nimeoteshwa dawa ya kutibu kila kitu.!

    Waungwana mpo..! Kwa heshima na taadhima ninasimama mbele yenu ninayo habari njema kwamba nikiwa usingizini usiku huu nimeoteshwa dawa inayotibu magonjwa yote (kama alivyooteshwaga babu wa Loliondo) Sema tofauti ya hii dawa yangu ni kwamba sio ya kunywa kwa kikombe ila mgonjwa atakunywa ujazo wa...
  11. Mbwa dume

    Huyu kijana sio wa kawaida..!

    Tangu nihamie mjini kutoka kijijini kwetu miaka ya tisini sikuwahi kuukubali sana muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva na japo kidogo niliwahi kupenda baadhi ya nyimbo za wasanii wa enzi hizo za kina TID, Nature,Dully, Afande Sele,Sugu na wengineo maana enzi hizo msanii anatoa nyimbo...
  12. Mbwa dume

    Wanaume wa Dar, je hii ni kweli?

    Nimekuta hii video sehemu
  13. Mbwa dume

    Je, tetesi hizi zina ukweli?

    Niko hapa Dar kibiashara tangu Jumamosi (nimekuja kuuza vumbi la Kongo maana nimeona biashara ya majeneza peke yake ntakufa na njaa) Sasa jana nikiwa ndani ya bar moja mitaa ya Makumbusho mida ya saa mbili hivi usiku niko na jamaa zangu tunakula tungi ghafla kuliibuka ubishani meza ya jirani...
  14. Mbwa dume

    Kuoa mke mbaya ni udhaifu wako mwenyewe.!

    Kuoa mwanamke mbaya ni udhaifu wako mwenyewe au uoga wa kutokujiamini, Mbaya zaidi mkiishi miaka kadhaa mnaanza kufanana.! Mjifunze kwa wazee wenu kama 1.mzee "Machache" ameoa chombo na mpaka sasa wanaenjoy maisha 2. Mzee "Kapuyanga" ambaye juzi tu hapa kang'oa "kisu cha ngariba" na sasa pia...
  15. Mbwa dume

    Majuto ni mjukuu.! Nimeikuta sehemu. Ì

    Hebu cheki huyu mdada.
  16. Mbwa dume

    Majuto ni mjukuu.! Nimeikuta sehemu. Ì

    Hebu cheki huyu mdada.
  17. Mbwa dume

    Majuto ni mjukuu.! Nimeikuta sehemu. Ì

    Hebu cheki huyu mdada.
  18. Mbwa dume

    Majuto ni mjukuu.! Nimeikuta sehemu. Ì

    Hebu cheki huyu mdada.
  19. Mbwa dume

    Kutongoza mwanamke mwezi huu ni sawa na kuhamia nyumba yenye deni la Luku.!

    Kichwa cha habari chajieleza. 1.msimu huu ukimtokea demu hachomoi ila muda huo atageuka yatima! Jiandae na mizinga kama yote.! ...naishia hapo ngoja nimalizie kuingiza majeneza yangu bandani leo biashara ilikuwa mbaya.
  20. Mbwa dume

    Msimu wa biashara

    Habarini wadau, Mimi kama mjasiriamali wa muda mrefu nimekuwa nikisikia wafanyabiashara baadhi yao wakisema "msimu huu biashara mbaya sana" sasa najua kila mfanyabiashara ana msimu anaoamini biashara itakuwa nzuri kulingana na anachouza. Tuanze na mimi msimu ambao biashara yangu huanza...
Back
Top Bottom