Kutongoza mwanamke mwezi huu ni sawa na kuhamia nyumba yenye deni la Luku.!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
5,536
9,074
Kichwa cha habari chajieleza.
1.msimu huu ukimtokea demu hachomoi ila muda huo atageuka yatima!
Jiandae na mizinga kama yote.!
...naishia hapo ngoja nimalizie kuingiza majeneza yangu bandani leo biashara ilikuwa mbaya.
 
Siwezi kuacha kutongoza warembo kwa kuogopa mizinga.
Tena wa mwezi December hawasumbui.

Akikuomba mahitaji 4, wewe mtimizie hata 2 tu inatosha.
 
wewe ni mwanaume wa kweli mkuu mmebaki wachache tu
Siwezi kuacha kutongoza warembo kwa kuogopa mizinga.
Tena wa mwezi December hawasumbui.

Akikuomba mahitaji 4, wewe mtimizie hata 2 tu inatosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom