Search results

  1. M

    DOKEZO TARURA Moshi ni jipu

    Miongoni mwa madereva tunaopata changamoto kubwa ni tunaotumia barabara inayoanzia Tembo Road hadi kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd (SBL) kupitia FM Foundation Pre and Primary School. Barabara imeharibika sana na kipindi cha mvua haipitiki na magari yanakwama. Mwanzoni tulikuwa tunachepukia...
  2. M

    Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

    Nafikiri tunapojadili issue ya Askofu tuijadili bila kuingiza hisia. Tuvae utu na ubinadamu. Tukio la kutekwa na kuvalishwa taulo lenye kemikali za sumu ni la Mei 2018 na aliwatambua wawili kati ya watu tisa kuwa ni miongoni mwa wale aliokutana nao baada ya OCS kituo cha Majengo kutoa namba zake...
  3. M

    Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

    Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana. Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina...
  4. M

    Jukwaa la Wahariri(TEF), lataka majeruhi ajali ya moto Morogoro washitakiwe

    Nadhabi Balile hayuko sawa. Ni vema watu wakamweleza ukweli hadharani. Kibaya ni kwamba he is dragging the whole TEF into this shit! Anaimomonyoa bila kujua, huku akijitukuza. He doesn't notice his weakness. Heshima ya TEF imefia mikononi mwa Balile. No one takes it seriously anymore. Ni...
  5. M

    Kazi hii ya Rais ni ya kupongezwa hata K'njaro ubambikiwaji wa kesi upo

    Nafikiri maadam Rais ameshamwagiza DPP kipitia magereza yote nchini naamini walifika gereza la Karanga watashughulikia hili pia kujua ukweli wake
  6. M

    VODACOM waoneeni huruma wateja wenu , mteja ni mfalme

    Huwezi kuamini mpaka sasa hiyo pesa haijaingia kwangu wala kurudi benki. I will never ever do such a mistake again. Halafu hawana customer care kabisa. Hawapokei simu
  7. M

    VODACOM waoneeni huruma wateja wenu , mteja ni mfalme

    Bado hazijaingia ndugu na customer care hawapokei kabisa simu
  8. M

    VODACOM waoneeni huruma wateja wenu , mteja ni mfalme

    Sawa lakini mbona kama kimetulia hiyo pesa mpaka sasa haijaingia?
  9. M

    VODACOM waoneeni huruma wateja wenu , mteja ni mfalme

    Leo asubuhi nimehamisha fedha kwa simbanking kutoka CRDB kwenda Mpesa lakini mpaka ninavyoandika hapa hazijaingia Mpesa lakini CRDB zilishakatwa. Ukipiga100 custormer care wahudumu hawapokei. Kweli ndio mnavyofanya biashara? Kila ukitaka kuangalia balance ya Mpesa inakuletea ujumbe "Samahani...
  10. M

    Mlinzi wa shule ya Sekondari Scolastica, Hamis Chacha aliyeua Mwanafunzi, ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Leo mahakama Kuu Moshi imetoa hukumu ya kesi ya mauaji ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica, Humphrey Makundi aliyeuawa Novemba 6,2017 na maiti yake kutupwa mtoni. Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, mlinzi wa shule hiyo Hamis Chacha amehukumiwa kunyongwa hadi kufa wakati mmiliki wa shule...
  11. M

    Nini kiko nyuma ya pazia kuvunjwa kwa klabu maarufu ya Mekus?

    Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kwamba pamoja na mmiliki kushinda kesi na kutakiwa kuendelea na biashara zake, polisi hawampi ushirikiano ili arudi katika eneo lake licha ya kwamba eneo lote la baa limevunjwa. Nani yuko nyuma ya hili jambo...
  12. M

    Moshi: Mjane mwenye watoto wanne atupwa jela maisha kwa kosa la kusafirisha mirungi

    Sheria ya sasa ukikutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya iwe Mirungi, Cocaine, Heroin, Bangi kifungo chake ni maisha jela
  13. M

    Moshi: Mjane mwenye watoto wanne atupwa jela maisha kwa kosa la kusafirisha mirungi

    NEWS UPDATES Mwanamke mwingine mkazi wa Kiboriloni katika Manispaa ya Moshi,Sophia Kimaro (28) amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kusafirisha kilo 12:5 za Mirungi, kosa alilolitenda tarehe 4.12.2014. Alikamatwa eneo la Njoro ya Dobi Moshi akisafirisha mirungi kwenda kuiuza. Hukumu...
  14. M

    Kigogo CRDB na mtandao wa wizi wa magari

    Crime Buster (RCO) Kilimanjaro na Mkuu wake wa Intelijensia wameshindwa kudhibiti biashara ya mirungi ndio wataweza mtandao wa wizi wa magari unaohusisha foreigners? Gari la Ikulu ya Kenya lilikamatwa red handed hapo Moshi lakini jamaa waliokamatwa nalo hawana kesi Tanzania wala Kenya pamoja na...
  15. M

    Jaji mkuu, ugomvi na wanahabari wa nini?

    Hii kesi imekuwa na figisu nyingi tangu Day One. Hili tamko la Jaji linaongeza hisia mbaya dhidi ya mhimili wa mahakama. Contempt of court inajulikana. Kuna kosa gani waandishi wakiripoti kile kinachosemwa kortini? Au kuna njama za kucheza na proceedings? Yajayo yanafurahisha Huko tuendako si...
  16. M

    Jaji mkuu, ugomvi na wanahabari wa nini?

    Leo niliingia mahakama Kuu Moshi katika usikilizaji wa kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica inayowakabili watu watatu akiwemo mmiliki wa shule, Bwana Edward Shayo. Mimi niliingia kama msikilizaji wa kawaida ila nilichokisikia nimejiuliza mara mbilimbili ni kitu gani...
  17. M

    Polisi Kilimanjaro wazidiwa nguvu na Wasafirishaji Mirungi

    Moshi ni shida. Ukienda Same nako ni shida. Ukiwa Moshi nenda hapo baa inaitwa Oriental Majengo. Kaa hapo kuanzia saa 5 hivi asubuhi. Haitapita saa 2 utaona mapikipiki yakitokea njia ya Dar kwenda Moshi yakiwa yamesheheni mafurushi ya mirungi. Huko maeneo ya Pasua na Bomambuzi biashara ni hiyo...
Back
Top Bottom