Search results

  1. Maramla

    Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    haya ni mawazo ya mtu asiyejua namna serikali inavyofanya kazi, endeleeni kupiga ramli ikifika 2025 mnakosa Sera mnapigwa mchana kweupe Samia anatuvusha tena hadi 2030
  2. Maramla

    Wasomi UDSM Wataka Haki Jinai Iwe Mageuzi Endelevu

    Waziri wa Habari Nape Nnauye amemshukia Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Kissu akimtaka aache kutumia lugha za matusi na kashifa anapotoa maoni yake. Nape ameyasema hayo Ukumbi wa Nkuruma alipokuwa akihitimisha mjadala wa HakiJinai ambapo alisai amensikia Lissu akibeza kwa lugha “za hivyo”...
  3. Maramla

    Wasomi UDSM Wataka Haki Jinai Iwe Mageuzi Endelevu

    Wasomi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamesema mageuzi aliyoyaanza Rais Samia Suluhu Hassan katika eneo la HakiJinai yanapaswa kuwa endelevu. Mhadhiri wa Sheria Chuoni hapo Dkt. Saudin Jacob anasema uchambuzi na maboresho mbalimbali katika mfumo wa haki jinai ni mwafaka kwa...
  4. Maramla

    Haki Jinai na Jinai Yetu Sote Katika Utoaji wa Haki

    Na Johnson Gerald Nimefuatilia ripoti ya Jaji Othman Chande kuhusu changamoto mbalimbali katika utoaji wa haki katika mawanda za jinai nchini. Nataka kuamini Jaji Chande amewasemea wananchi wengi katika ripoti yake lakini pia ametusema sote tuliochangia jinai hiyo. Ungana nami katika kuangalia...
  5. Maramla

    Kasimu Majaliwa hutakiwi kusema chochote kuhusu Demokrasia, huna sifa hiyo

    Mtoa hoja nadhani kalewa au ni chuki kwa huyu Baba wa watu…
  6. Maramla

    Maono ya viongozi yanavyoipaisha Tanzania kimaendeleo

    “ Kwa wale ambao wana mashaka mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais, nataka nirudie kwamba aliyesimama hapa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye maumbile yake ni mwanamke” Kauli thabiti ya Mheshimiwa Samia...
  7. Maramla

    Mchungaji Msigwa: Tuchague kuitunza Ngorongoro au tuache Wamasai wafuge ng’ombe kule

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wa chama hicho, aliyewahi pia kuwa mbunge wa Iringa mjini na waziri kivuli wa Wizara ya Maliasili na utalii Mchungaji Peter Msigwa amesema hali ni mbaya katika hifadhi ya Ngorongoro na jitihada za haraka kuinusuru hifadhi...
  8. Maramla

    PM: Best way to conserve Loliondo not yet decided

    PM: BEST WAY TO CONSERVE LOLIONDO NOT YET DECIDED Guardian baada ya kubumba stori ya PM atlast wametambua mwandishi wao ni wa mchongo na wamerekebisha, ukweli umesimama dhidi ya PAYROL
  9. Maramla

    Mgogoro Ngorongoro: Gazeti la The Guardian, mmelipwa au ni kujitoa ufahamu?

    sasa wewe nae utakuwa unatatizo hebu kasome story ya Jamhuri wale wamefanya analysis, tena bila nukuu za kubumba kama walivyofanya guardian, ndugu zako hao wamemnukuu majaliwa kuhusu Ngorongoro wakati wote tumesikia ameongelea mgogoro wa Loliondo. Shame kwa Guardian Big failure.
  10. Maramla

    Mgogoro Ngorongoro: Gazeti la The Guardian, mmelipwa au ni kujitoa ufahamu?

    nadhan mtoa uzi ana hoja, nimesoma hiyo habari pia nimefuatilia taarifa za habari nimemsikiliza PM, Guardian wanalo la kujibu, kuna mchangiaji anasema eti mwandishi alikuwa na haki ya kutafuta angle, sawa lakini anatafutaje angle ambayo haikusemwa na source huu ni udhaifu, anam quote nani?
  11. Maramla

    Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    When it comes to sugar Saga, waagizaji wa sukari lazima wawe wakali… ninyi ndio chanzo cha kupandisha bei ya sukari…. inafika hatua sasa mnaatack each and ever1, sina shaka na uzalendo wa Majaliwa ila naliona kundi la wapigaji wakimchafua huyu baba, yaan unasoma andiko unaona chuki kabisa...
  12. Maramla

    Mbunge Ruangwa piga kazi, achana na maneno ya wasio na nia njema na watanzania

    Sasa Mtu kama huyu ndo aje hapa kuelezea Korosho?? Yaani unamuona kabisa ana lengo la kumchafua Mtu kwa hoja za kibindoni. Leo niwape Somo kidogo. 1.Korosho Kwa mfumo wake huwezi kuuza Kwa maelekezo, kwakuwa inategemea ushindani wa minada, hivyo Wanunuzi wote mnaowajua hakuna anayecheza nje ya...
  13. Maramla

    Mbunge Ruangwa piga kazi, achana na maneno ya wasio na nia njema na watanzania

    Ifike mahali kwenye hii nchi mtu akifanya kazi wapigaji wasitafute njia ya kukwamisha jitihada, common sense ya kawaida tu jmn 1000 😂😂😂 hiyo Korosho inauzwa kwenye kilo moja? sasa hapo mnunuzi anapata kitu gani? na mkulima je? 😂😂 Rubbish
  14. Maramla

    Mbunge Ruangwa piga kazi, achana na maneno ya wasio na nia njema na watanzania

    Hawa ni Watu ambao wanatumwa bila kufanya tafiti juu ya upotoshaji wanaofanya. Jana nikijiuluza sana, eti Mbunge apige panga la Shilingi 1000?!...yaani unawezaje Kwa mfano? Hawa hawaijui Korosho, yaani wamechamka pakubwa. Mbunge afanye kazi, haya hayaishi.
  15. Maramla

    TCRA ingilieni kati namba za kigeni zinazochafua watu

    Unataka tuanze kuitana wapumbavu Kwa kuleta hoja..Hahaaaa. Una hasira na hii hoja, Wewe ni mmoja wao
  16. Maramla

    Tunaomba Serikali iwalinde Sibatanza dhidhi ya wapiga deal

    Unajua wengi wenu humu hamuijui Korosho na mapanga yake yanvyokuwa. 1.Hakuna Mtu anaweza kupiga shilingi 1000 Kwa kila kilo ya Korosho kwa kukata kwenye bei. Hao wapigaji wote mnaowaona wanapigania kupiga panga la shilingi 5 hadi 50 halafu uniambie Kuna Mbunge anapata elfu Moja kila...
  17. Maramla

    TCRA ingilieni kati namba za kigeni zinazochafua watu

    Kumekuwa na mtindo wa wahuni wengi Sasa hivi kujisajili Kwa namba za Nchi tofauti wakiwa wamejibanza huko kwenye mapango na kuchafua watu. Namba hizi zinatumia Watsap tu zimekuwa kichaka cha kuchafuana na kutishiana maisha. Ebu TCRA fanyeni msako na kuongeza ufanisi kwenye kuzuia haya mambo...
  18. Maramla

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

    Boka ww ni mmoja wao nini, inawezekana vipi umkabidhi mtu akujengee nyumba hajakamilisha vipengele vya ujenzi kama mlivyokubaliana, aje akukabidhi upoke… simpo logic tu… acha ubabaishaji wananchi wanahitaji huduma bora zenye viwango… tusiwafanye viongozi wetu wawe chanzo kupokea miradi isiyo na...
  19. Maramla

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa acha siasa za ujanja ujanja

    Boka ww ni mmoja wao nini, inawezekana vipi umkabidhi mtu akujengee nyumba hajakamilisha vipengele vya ujenzi kama mlivyokubaliana, aje akukabidhi upoke… simpo logic tu… acha ubabaishaji wananchi wanahitaji huduma bora zenye viwango… tusiwafanye viongozi wetu wawe chanzo kupokea miradi isiyo na...
  20. Maramla

    How Tanzania Remembers Dr. Kenneth Kaunda

    Tanzania President Her Excellency Samia Suluhu Hassan has on behalf of government sent condolences to the People of Zambia for the death of their Father of the Nation Dr. Kenneth Kaunda who passed away yesterday June 17, 2021 in Lusaka. In her condolences President Samia has said Africa has...
Back
Top Bottom