Search results

  1. Price

    Ulishawahi kutumia hizi

    Yeah, chakula kina kuwa sooo tamu na kama ni nazi basi inakolea had raaha
  2. Price

    DJ Rommy Jones kwenye kashfa ya ubakaji Sweden

    Hahahaha anapenda kubakwa na yeye...
  3. Price

    Je, Maboga yanalipa?

    Oh ok nimekuelewa mkuu lakini kwamimi naona hapana maana si wengi wanaokula maboga ila unaweza fanya research ukaona soko lipoje. Na kama utalima yote ni sawa... Big up
  4. Price

    Kwa dalili hizi naona kama mchepuko wa rafiki yangu unanitaka

    Asee wewe unawazia kwenye ubongo uliopo kichwani kweli? hahahaa hapo kakupa tarehe yake ya kuzaliwa umewaza anakutaka je angekupa tarehe yake yakuingia siku zake si ndo ungewaza anataka umpe mimba? Hahahaa inaonesha wewe ndo una interest nae
  5. Price

    Pesa za sherehe ya Muungano iliyoahirishwa zigawiwe sawa Tanzania bara na Zanzibar

    Sasa unataka kuigawa nchi mara nne mana mara mbili ishagawanyika. Hata barabara ya Mwanza ipo kwenye muungano pia mana ni ya Tanzania na Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar.
  6. Price

    Je, Maboga yanalipa?

    Rudia kusoma ndugu, nimetoa na sababu yangu ingawa haijashiba.
  7. Price

    Je, Maboga yanalipa?

    Sioni kama yanalipa, maana ni ya msimu. Lima ngogwe(nyanya chungu) na bamia...ni zinasoko sana halafu ni affordable.. Na ndoto hizo.. nimekuonjesha business plan yangu.
  8. Price

    Napataje kuku anayetaga mayai zaidi ya 1 kwa siku!?

    Yeah mi pia niliwahi mshuhudia huyo kuku, aliletwa nyumbani na Mama ilikuwa kila akila anakaa muda kidogo anataga yai... Lakini kesho yake tulimchinja:(, sa sijui alimtolea wapi. Yani ni ajabu, anataga tunamuona.
  9. Price

    Vibaby vya Salim Kikeke

    Hahahaha hapana wewe ni housegirl wa Salim Kikeke, mimi ndo dada mtu... kubali plssss
  10. Price

    RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Mi namuunga mkono Makonda. Wangekusanywa pamoja kwenye vituo vyao, vituo viboreshwe na watu wahamasishwe kutoa misaada kule. Kuliko kukaa barabarani. Kuna omba omba wengine wanapata hadi elf 30 kwa siku lakin kwakuwa wamejiekea kuwa kesho ataomba tena basi hafikirii zaidi, anachojua tu...
  11. Price

    Mvua kubwa ikiambatana na Upepo mkali kunyesha ndani ya saa 24 Ukanda wa Pwani na Zanzibar

    Dah!:( nguo zangu hazikauki... napenda mvua lakin nahitaji jua pia
  12. Price

    Kuelekezeana matako kwa abiria ktk daladala lililojaza hakuna madhara kiafya?

    Ukimuona kuku kwa mganga, jua kaponzwa na Rangi yake... kwakweli sijui, napita tu!!!
  13. Price

    Ukitaka uone dunia chungu, mpe mimba msichana usiempenda

    Hahaaaa... mmoja alipata mimba ya guy wa bestfriend wake.. The guy hamtaki Dada na bestfriend hataki hata kumuona kabaki na yy anaelea.
  14. Price

    Naombeni ushauri wa kureseat form 6

    Ulipomaliza 2011, ungeweza kuanza certificate level kwa chet chako cha form four kisha Diploma, leo ungekuwa level ya degree mwaka wa kwanza au wa pili. Lakin hakijaharibika kitu, weka jitihada utafanikiwa na jiamini pia. Ukiambiwa huwezi usione huwezi kweli, jiongeze na ujaribu.
  15. Price

    Natafuta mke jamani

    Daah! hii ndoa yako mmh... yan umekosa kabisaaaaa hata wale uliosoma nao had uje hapa?
Back
Top Bottom