Kuelekezeana matako kwa abiria ktk daladala lililojaza hakuna madhara kiafya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,846
109,534
Najua Watu wengi humu tunatumia usafiri wetu huu wa kawaida wa daladala kwenda katika mizunguko yetu mbalimbali. Ila ikumbukwe kuwa hasa katika jiji letu hili la Dar es Salaam usafiri wa daladala huwa ni wa shida mno na ukipanda na kupata siti basi siku hiyo hutaisahau maishani mwako.

Pamoja na hayo yote kuna jambo linanipa ukakasi na nimeona leo nililete kwenu ili mwenye kujua atupe maarifa zaidi na kama kuna tahadhari basi tuanze kuichukua mapema. Jamani humu katika hizi daladala huwa tunatabia ya kujazana kiasi kwamba mara nyingine ikatokea mmoja wenu kajamba kishikaji hamuwezi kumjua au mtu akiibiwa kwa kupigwa ndole kumjua mwizi ni tatizo na wakati mwingine baadhi yetu hupitishwa kituo unachotaka kushuka.

Leo naomba tu kuwauliza hivi kwa jinsi vile ambavyo huwa tunajazana mpaka pomoni ( nyomi / wengi ) mule ndani ya daladala halafu wengi wetu tunakuwa tumepeana migongo kimuelekeo na hasa hasa makalio ( matako ) yetu mara nyingi yamekuwa yakikutana / yakigusana tena kwa ukaribu wa kutukuka. Je hali hii kiafya haina madhara?

Naomba mwenye kujua hili atusaidie kwani nataka sasa kufunga kila kilokuwa changu nianze safari kwenda kugombania daladala na nijue leo nitagusanisha kalio na abiria gani hasa ukizingatia kuna mvua jijini hivyo usafiri leo utakuwa ni wa shida, tabu na kukomoana.

Naomba kuwasilisha na karibuni tujadili.
 
pumba tu.

huna Elimu ya juu.

swissme
 
Madhara yapo, ukikutana na dungadunga, unashangaa jamaa kukulowesha.
 
pumba zingine hizo.ungekuwa na Elimu usingekuwa unatuletea utumbo humu.peleka huko kwa wajinga wenzako fb.

swissme

swissme
 
Umasikini una madhara mengi sana. Moja wapo ya madhara hayo ni kuvunjiana heshima haswa kwenye vyombo vya usafiri. Jana nilimuona kijana mmoja amepanda mshikaki kwenye boda boda na mwananmke ambaye naweza kusema ni kama shangazi yake vile. Nikaangalia ule mkao nikasema kama isingekuwa umaskini wasingethubutu kupanda mshikaki na kukaliana vile. Dah...
 
Najua Watu wengi humu tunatumia usafiri wetu huu wa kawaida wa daladala kwenda katika mizunguko yetu mbalimbali. Ila ikumbukwe kuwa hasa katika jiji letu hili la Dar es Salaam usafiri wa daladala huwa ni wa shida mno na ukipanda na kupata siti basi siku hiyo hutaisahau maishani mwako.

Pamoja na hayo yote kuna jambo linanipa ukakasi na nimeona leo nililete kwenu ili mwenye kujua atupe maarifa zaidi na kama kuna tahadhari basi tuanze kuichukua mapema. Jamani humu katika hizi daladala huwa tunatabia ya kujazana kiasi kwamba mara nyingine ikatokea mmoja wenu kajamba kishikaji hamuwezi kumjua au mtu akiibiwa kwa kupigwa ndole kumjua mwizi ni tatizo na wakati mwingine baadhi yetu hupitishwa kituo unachotaka kushuka.

Leo naomba tu kuwauliza hivi kwa jinsi vile ambavyo huwa tunajazana mpaka pomoni ( nyomi / wengi ) mule ndani ya daladala halafu wengi wetu tunakuwa tumepeana migongo kimuelekeo na hasa hasa makalio ( matako ) yetu mara nyingi yamekuwa yakikutana / yakigusana tena kwa ukaribu wa kutukuka. Je hali hii kiafya haina madhara?

Naomba mwenye kujua hili atusaidie kwani nataka sasa kufunga kila kilokuwa changu nianze safari kwenda kugombania daladala na nijue leo nitagusanisha kalio na abiria gani hasa ukizingatia kuna mvua jijini hivyo usafiri leo utakuwa ni wa shida, tabu na kukomoana.

Naomba kuwasilisha na karibuni tujadili.
Made in Div 5, mlugo's products, akili yako imejaa kamasi, nyau weee
 
Hata wafanya UTAFITI au WADADISI wa masuala mwanzoni huonekana kama WENDAWAZIMU ila baada ya muda huja kuonekana MASHUJAA. Kwa TAARIFA yako tu na huo UPUMBAVU ulionao hili tatizo limezungumzwa katika moja ya ripoti ya MAGONJWA mfumuko yanayoathiri nchi nyingi za Afrika na Asia katika suala zima la matatizo ya USAFIRI mijini na WHO ila kwakuwa AKILI za baadhi yetu humu ni za " nyasi za nyoka " mmeniona kama vile wa ajabu. Umeshaingia katika listi ya Watu NINAOWADHARAU! Jifunze kusoma zaidi na kufuatilia mambo mbalimbali uwe knowledgeable. Huwa SIKURUPUKI katika Mada ninazozileta humu. Sasa nataka uniambie tena mimi na wewe kwa mukhtaza huu nani ni Div 5, akili yake imejaa kamasi na paka?
 
What is this "the fellowship of nerds"??
 
Ukimuona kuku kwa mganga, jua kaponzwa na Rangi yake... kwakweli sijui, napita tu!!!
 
Nilishawahi kushuhudia mdada kachafuliwa nyumaa na shahamu nilimuona huruma sana wasamaria wakampa kanga na ikabidi arudi home
 
Ngoja dr wa kuzimu aje atupe faida na hasara ya hako ka stail kau safiri...

Ila pia tusiwabague wenzetu wa chai maharagwe kule zenji na vile vi canter vyao kama viriku vifupi vilivyogeuzwa kuwa daladala.. Na tatizo la kukutanisha magoti aka gear
 
Kugusanisha matako na ke athari yake ni kwa mwanaume kuambukizwa matako ya mwanamke. Kama hiyo ya kugusanisha matako inakutokea mara kwa mara kwenye daladala basi lazima utakuwa umeathirika hebu chukua kioo ujichunguze unaweza kuta tayari umeshabinuka nyuma watu wanakushangaa hawakuambii.
 
Back
Top Bottom