Search results

  1. bullet

    Tujadili kuhusu Nissan X-trail

    Kama miaka miwili au zaidi kidogo kulikuwa na maswali mengi kuhusu magari ya Nissan X-trail, wengine wakiyaponda na wengine wakisema ni magari mazuri. Kwa siku za karibuni maswali yamepungua na Nissan X-trail zinazidi kuwa nyingi mtaani. Je, watumiaji wamegundua mahitaji yake kwa sasa na ndio...
  2. bullet

    Buick na Cadillac

    Hivi kwa nini American Cars kama Buick au Cadillac hayapo sana Bongo? Ni kwamba producers hawana markting strategies kwenye nchi zetu? Au hakuna magari ya mtumba ya aina hiyo? Kama kwa magari ya kijapani. Kwa nini hayapatikani nchini au kama yapo yapo kwa uchache sana? Pili hizi Ford...
  3. bullet

    Ukaguzi viwanja vya ndege

    Kwa kawaida ukaguzi hufanyika kwa watumiaji wa viwanja vya ndege kuhakikisha usalama wao. Mara nyingi wana scan kuona kama mtu anazo Items zozote za chuma mwilini mwake. Ndio maana utaambiwa vua mkanda, viatu, weka wallet yako kwemye tray na kadharika. Swali langu ni kwamba kama scanner za...
  4. bullet

    Mdahara wa katiba Serena Hotel

    Hivi selikari yetu inaogopa debates au tunadanganywa na media? Tulitangaziwa kuwa katika mdaharo wa leo hapa Serena Hotel watoa mada watakuwa ni pamoja na naibu waziri wa sheria na katiba mh. Anjella Kairuki, Tundu LISSU na dr Mohamed Alei toka Zanzibar. Unfortunately, Naibu waziri hakuudhuria...
  5. bullet

    TBC aibu leo!

    Katika hali ya kustaajabisha katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu TBC wametangaza habari za mzee Mkapa kumpigia ka;mpeni Sioi huko Arumeru mashariki lakini katika kuweka picha zikatokea picha za Nasari! Mtangazaji Amina Moleli kwa aibu kakatisha habari kuwa mambo hayajawa sawa...
  6. bullet

    Breaking News: Moto walipuka soko la Kigoma mjini

    Moto ambao chanzo hakijajulikana umelipuka katika baadhi ya maduka ya soko Kigoma mjini! Kikosi cha zimamoto na polisi wamewahi na kuudhibiti moto huo. Wenye maduka yaliyo ungua hawajapatikana. Source: mimi mwenyewe
  7. bullet

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    Habari toka mkutanoni kati ya waziri mkuu na madaktari zinasema waziri mkuu kawasimamisha kazi katibu mkuu wa wazara ya afya na mganga mkuu huku akimuachia rais kuwatimua waziri na naibu wake. Chanzo: madaktari walio katika kikao na waziri mkuu.
  8. bullet

    Hivi gazeti la uhuru linatumia weredi au bado ni propaganda?

    Kuna kichwa kimoja cha habari kwenye gazeti la Uhuru kuwa "maandamano feki yashindwa". Hivi kweli ujumbe uliofikishwa na wanaharakati wale ulikuwa feki? Hivi kweli kupaza sauti juu ya wahanga wa mgomo wa madaktari ambao kwa kiasi fulani umechangiwa na serikali, sauti hizo ni 'fake?' Hivi kweli...
Back
Top Bottom