kucheka sio ujinga ,ili kuweza kumjua mtu mwenye akili sana huwa anacheka sana,ukimuona mtoto wako ana tabia ya kucheka ujue ana akili sana kwwni anakuwa na uwezo wa kutafsiri matukio na vitendo kuweza kujua hiki kinachekesha hiki hakichekeshi .na ukiona mtu hacheki km lowasa ni kuwa yeye...
Leo ktk radio moja kulikuwa kuna mdada mmoja anatangaza ya kuwa mtu yeyote atakae MTONGOZA anaenda kumshitaki na anawahamasisha wanawake wengine ktk Tanzania wasikubali kutongozwa,Je hii ni sawa ?
------- hamna kitu hapo mm hiyo dawa niliitumia hakuna kitu zaidi ya maumivu makali wakati wa kulala labda km unaenda kumkomesha MTU ndio upake hicho kichwa
Gari hii inauzwa na mwenye nayo anaiuza 4.5m haongezi wala kupunguza hata mia ni kwamba mwenyewe anashida kubwa sana hivyo anasema mtu hufaliwa na chake ni pm ili upate gari hii
A kilimo bila pesa ni sawa na kujamba ktk Maji ya bahari .mm nimekodi na kununua ardhi mpaka Leo hela ya kulimia nimeshindwa kupata .bank naogopa kukopa maana kilimo hakina uhakika naona hivi pesa zangu zimepotea nilikuwa na lengo la kupanda Ufuta na mahindi na muhogo nipeni ushauri wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.