Search results

  1. Lily Flower

    Airtel Modem

    Habari za saa hizi wakuu, Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network...
  2. Lily Flower

    Maisha Bongo

    Hivi tunawezaje kuishi kwa matumizi yafuatayo kila mwezi? Fikiri matumizi nyumbani: chakula, umeme, gesi, maji, soda/juisi za wageni. Ada za watoto zinazolingana na za chuo kikuu. Matibabu hospitalini, pesa ya walinzi kwa mwezi, sherehe za kuaga na kukaribisha mwaka mpya; Zaka ya kanisani na...
  3. Lily Flower

    Why Tanzanian Bus Drivers Go To Heaven...

    A Priest dies and waits in line at the Gates of Heaven. Just before he reaches the front of the queue, a guy in casual Jeans and T-Shirt pushes in. The Angel addresses this guy, 'Who are you? So that I may know whether or not to admit you to Heaven?' The guy replies, 'I'm Phillipo, a...
  4. Lily Flower

    Thank you for coming Gift

    Habari za jioni wana JF Ninaomba ushauri wenu wapendwa, nina shughuli hivi karibuni na ninatafuta a THANK YOU FOR COMING GIFT amabyo its not so costy but unique. Natanguliza shikurani zangu, cku njema everyone.
  5. Lily Flower

    R.S.V.P kwenye kadi ya mwaliko etc.

    Wana JF hebu tudiscuss hii mada, Nini maana ya R.S.V.P kwenye kadi ya mualiko etc na je inatekelezwa?
  6. Lily Flower

    Huyu ananitania au ananipima

    Nina bf wangu ambaye tuko kwenye uhusiano kwa muda sasa, all was very well at the beginning lakini lately naona mabadiliko ambayo yanapelekea mie kupata wasi wasi kwamba he is not serious anymore, ukimuliza what is wrong majibu yanakuwa am very busy, kazi nyingi, shuguli za hapa na pale...
Back
Top Bottom