Search results

  1. L

    00:00 pm - ROLL CALL KWA WANA JF WOTE.

    Nipo 2013 na 2014
  2. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Hivi wewe mwenye uzoefu wa miaka 30, hujui kuwa dunia inaenda ikibadilika?siku hizi kilakitu tec mzee. Kama ndivyo unavyotaka. Hebu kwanza niambie mafunzo ya kijeshi asili yake ni wapi? Na walioanzisha bado wanautumia mfumo ule ule? Hitla simjui ila hotuba zake niliziona. Manipulation. Mafunzo...
  3. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Lakini sasa huoni kuwa askari wetu wanaenda kama giza? Haijalishi waliamniwa wafanye nini ila walichokifanya hakikinzani na wanayofundishwa huko mafunzoni. Kama aliyoeleza mtoa hoja ni ya kweli huhitaji kuwa smart kuona kuwa askari wa Tanzania na Afrika kwa ujumla hawana ubinadamu na ubabe ndo...
  4. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Hakuna tofauti ya wanafunzi kuanzia msingi hadi chuo kikuu. Na mwalimu ni mwalimu kuanzia wa msingi hadi wale wanaojiita lecture. Mazingira ya wanafunzi ni kati ya factor wanazozibeba wanafunzi. Unaweza kuwa mkakamavi bila kuteswa na kutukanwa na kunyimwa chakula. Majeshi yetu yanafundisha...
  5. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Ukakamavu hauletwi na mateso. Hii ndiyo sababu askari wetu hawana utu, ni kwasababu mafunzo yao yanawaondolea itu na nidhamu. Hizi mbinu zilitumika enzi za vita vya dunia kuwamanipulate askari na kuwa brainwash. Sasa askari polisi una wa manipulate ili wafanye nini? Ndiyo maana matumizi ya nguvu...
  6. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Why shame on me? Unapompeleka mtoto shuleni halafu anafundishwa matusi na brutality unategemea nini?
  7. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Ikumbukwe kuwa watumishi wa umma wanastahili kuwa kioo cha jamii. Polisi walistahili kujifunza huma rights. Angalia yaloyotokea kwenye hiyo operesheni tokomeza ujangili? Utovu wa nidhamu unasababisha ukosefu wa utiifu. Wananchi wanijikuta wana jenga uadui kutokana na atitudes za askari
  8. L

    Mafunzo ya polisi kama ndo haya nimeshindwa

    Kumjengea mtu ukakamavu na uimara si lazima kum abuse. Ndo maana askari wengi hawajui kitu kinachoitwa huma right nafikiri polisi wa Tanzania wangekuwa wanajifunza anatomi ili wajue mwili wa mwanadamu ulivyo na namna ya kuu handle na kuu treat. Ndo maana askari wa Tanzania hawana nidhamu...
  9. L

    Dk. Slaa Igunga; Yanayofanyika Tanzania ni zaidi ya Afrika Kusini ya Makaburu

    Acha wazimu wewe mnashindwa kuelewa kuwa upinzani thabiti unaleta mabadiliko ambayo yanawafaidisha wananchi?
  10. L

    Dk. Slaa Igunga; Yanayofanyika Tanzania ni zaidi ya Afrika Kusini ya Makaburu

    Changia hoja wewe .usiwaze gongo tu
  11. L

    Urais 2015: CHADEMA kupoteza 45% ya kura alizopata Slaa 2010

    Mleta hoja bado anatabia ya ku bilieve kuwa mtu fulani ni bora wacha chama kianguke na kiinuke bila ZZK
  12. L

    Sakata la Zitto na wenzake: CHADEMA amueni kusuka au kunyoa!

    Mbona nyie maendekeza sana ubaguzi na ukabila . Ukiona mtu anauona ukabila, ujue huyo mtu ni mkabila. Tanzania ni moja na sisi sote ni mamoja. Kama chadema imekufa yeye zito yuko upande gani? Huoni kwamba lengo la ZZK ni kukidhoofisha chama? Kwani viongozi wote wapingani na Zitto? Huyu bwana...
  13. L

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Kagasheki agewawajibisha watekelezaji wa operesheni kwa kutokutekeleza operesheni ipasavyo(human rights was absent) ila kwa Tanzania ni jambo la kawaida. Polisi anapiga na kuuwa halafu msemaji wa polisi anaeleza anachofikiria yeye
  14. L

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Unajua kiongozi anayesimamia mateso ya wananchi hana nafasi kwenye jumuiya inayozingatia haki za binadamu na utawala bora. Tatizo ni kwamba askari wetu ni watu wa ajabu sana. Wanatumwa wasake majangili wanaoua Tembo, wao wanaenda kukamata wananchi wanaopakana na misitu ya hifadhi. Sasa kwa...
  15. L

    Kijana anaishi kwenye handaki katika ardhi ya UDSM

    Kwanini wanadamu mnakuwa hasi kiasi hiki? Huyu jamaa ana ibora wa juu kuliko viongozi wenge wanaoongoza Tanzania. Sikiliza maongezi yake kwanza
  16. L

    Mmarekani huyu amenishangaza.

    Pole ndugu yangu yangu kuuliza ni kuongeza ujuzi. Simu yeyote yenye bluetooth inaweza kutumia wireless. Umbali kutoka kwenye simu hadi kenye bluetooth unategemea ubora wa bluetooth. Kuna bluetooth za kuzungumzia tu na kuna zingine za kuzungumzia na kusikilizia mziki.(si radio) ila hayo matumizi...
Back
Top Bottom