Katibu Mkuu Mali Asili OUT!!
Bila shaka rafiki yake wa karibu gaidi Mwigulu Nchemba atasikitika sana!!!damu za wananchi wasio na hatia zilizomwagika chini ya utawala wake zitaendelea kumwandama.
ni waziri ambye alijaribu kutunga sera ya kuwanusuru tembo pmja na vifaru amepikiwa majungu mpka kakimbia.wauwaji wa tembo Wameshinda.
Utasikia akina Basil Mramba wanarudi kuwa mawaziri tena
Nimemsikia huyu waziri akilalama kuwa bajeti yake huwa haitoshi yeye ili kutekeleza majukumu yake na kwenda mbali kuwa eti hawezi kwenda kukopa benki ili kutosheleza mahitaji ya wizara yake.
Najiuuliza, mbona Magufuli alikuwepo hapo na aliiweza wizara hiyo pamoja na kuwa na changamoto hizo za kutokuwa na fedha za kutosha? vile vile wizara zote za serikali hii mzigo huwa hazipati fedha zote?? Mathayo huyooooo