Dk. Slaa Igunga; Yanayofanyika Tanzania ni zaidi ya Afrika Kusini ya Makaburu

attachment.php
 
Sidhan kama Dr Slaa ana jipya kwa sasa! Chadema ijiimalishe upya kwa kutatua matatizo ya ndan ya chama

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Dr.Slaa amebakia kuropoka hovyo bila kupima, hivi makubaru walikuwa wanavipa ruzuku vyama vya siasa kila mwezi, wanakula mpaka wanakopesha.
Ndugu tumia akili kidogo kinachozungumziwa hapa ni mateso na unyanyasaji uliofanywa/unaofanywa na vyombo vya usalama vya serikali ya CCM wewe unakuja na hoja ya ruzuku. Jadili hoja sio kuleta vihoja
 
Hivi kwa nin dokt slaa haonei watu huruma, huu ni uchochezi, fitna na uzandiki usio wa kawaida. Hivi anaelewa alichokisema, au nafurahia kuropoka tuu??
Amesema ana ushahidi wa picha/video na kama ni kweli anao na uko kwenye std hiyo anayosema ya unyama nadhani atakua na haki ya kusema hicho alichosema, although kweli ni sentensi zinazowezahamasisha....
 
Dr.Slaa amebakia kuropoka hovyo bila kupima, hivi makubaru walikuwa wanavipa ruzuku vyama vya siasa kila mwezi, wanakula mpaka wanakopesha.

Dogo, unadhani ruzuku ni hisani ya ccm kwa opposition parties? Pole sana.
Unaacha mambo ya msingi na kujificha kwenye hoja hafifu.
Makaburu hawakuwalazimisha A.Kusini watu kuzini na wakwe zao ama na miti/wanyama!
Ni serikali yenu mataahira tu!
 
Sidhan kama Dr Slaa ana jipya kwa sasa! Chadema ijiimalishe upya kwa kutatua matatizo ya ndan ya chama

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

mjomba samahani , naomba kuuliza , HIVI WEWE NI MTU ?
 
Acha wazimu wewe mnashindwa kuelewa kuwa upinzani thabiti unaleta mabadiliko ambayo yanawafaidisha wananchi?
 
Back
Top Bottom