Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,927
- 81,140
Huyu jamaa ni noma UDSM mpo? ardhi huvamiwa hivi hivi kaanza mmoja watakuwa kumi na baada ya hapo mia kuja kuwatoa hapo itakuwa ni ugomvi plus fidia
Last edited by a moderator:
handani
Huyu jamaa ni noma UDSM mpo? ardhi huvamiwa hivi hivi kaanza mmoja watakuwa kumi na baada ya hapo mia kuja kuwatoa hapo itakuwa ni ugomvi plus fidia
hakuna cha unoma jamaa anaonekana very intelligent na nimependa analysis yake juu ya ulipaji wa kodi mwanzoni nilidhan amepungukiwa lakin baada ya kumsikiliza nikagundua jamaa yuko timamu na ameenda shule hata kama hajafika chuoni
hamna lolote anaji-contradict anataka atozwe kodi wakati amevamia ardhi ya taasisi na halipi kodikweli kabisa mkuu...jamaa upstairs yuko poa
hakuna cha unoma jamaa anaonekana very intelligent na nimependa analysis yake juu ya ulipaji wa kodi mwanzoni nilidhan amepungukiwa lakin baada ya kumsikiliza nikagundua jamaa yuko timamu na ameenda shule hata kama hajafika chuoni
Mimi pia nimemsikiliza naona upstairs yuko fit. Lakini hadi anachimba mpaka kujipatia himaya hakuna mamlaka ye yote iliyomwona au hata watu baki ambao wangeweza kutoa taarifa kwa vyombo husika? Kumbe hata alshabaab wanaweza kujichimbia mahandaki na kujisetiri bila shida yo yote? This is a country and a half.
hamna lolote anaji-contradict anataka atozwe kodi wakati amevamia ardhi ya taasisi na halipi kodi
handani
Tiss wanahusikaje hapo? Mbona hamtumii akili? Yule ni raia wa tanzania na maisha ndio yamemfikisha pale huyo ni sawa na watoto wa mitaani tu.' Kwani nao wanashughulikiwa naTSs? Embu achen kujifanya wajuaji wa mambo wakati hata fikra hamna',mbona watoto wa mitaani wanalala mitaroni hatuwasikii mkiwataja tiss? Wa hamjawahi kuwaona vijana wasio namakazi na wana lala mitaani? Wanatofautiana nini na huyo? Kwani mmesikia kafanya uharifu kwa miaka mnne yote alio kaa hapo? Huyo ni swala la kujadili atapataje makazi ya kudumu hili ndio lamaana hayo mengine ni umbumbumbu wenu tu na kujifanya wajuaji wakati hamna lolote.TISS wapo kweli?
TISS wapo kweli?
yahaya unaishi waaapiKale ka wimbo ka jaydee nilivoona kavaa suti na kashikilia mafolder
hamna lolote anaji-contradict anataka atozwe kodi wakati amevamia ardhi ya taasisi na halipi kodi