Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Mtoa mada,umepiga pasi kwa starch?
Alikaa depo siku mbili tu, akakimbia !
Mtoa mada,umepiga pasi kwa starch?
Kumjengea mtu ukakamavu na uimara si lazima kum abuse. Ndo maana askari wengi hawajui kitu kinachoitwa huma right nafikiri polisi wa Tanzania wangekuwa wanajifunza anatomi ili wajue mwili wa mwanadamu ulivyo na namna ya kuu handle na kuu treat. Ndo maana askari wa Tanzania hawana nidhamu kwakuwa hawafundishwi nidhamu.
Kumjengea mtu ukakamavu na uimara si lazima kum abuse. Ndo maana askari wengi hawajui kitu kinachoitwa huma right nafikiri polisi wa Tanzania wangekuwa wanajifunza anatomi ili wajue mwili wa mwanadamu ulivyo na namna ya kuu handle na kuu treat. Ndo maana askari wa Tanzania hawana nidhamu kwakuwa hawafundishwi nidhamu.
Nililazimika kutoroka mafunzo ya polisi CCP miaka mitatu iliyopita,kilichonikimbiza ni jinsi mafunzo yalivyokuwa yanatolewa ,kufika tu nilikutana na bango limeandikwa HAKUNA HAKI ZA BINADAMU HAPA nilistuka kidogo na kutaka kujua ni haki zipi hizi .Lilipoanza somo la UVUMILIVU ndilo lililonifanya nikimbie kwani lugha inayotumika ni matusi ambayo kiukweli mengine ni mapya sijawahi kuyasikia, anaitwa mtu(kuruta) na anaitika,mfano tulianza kuitwa ASHAKUM SI MATUSI'WE MKU..DU NILIYEKU ..LA JANA njoo hapa,WE MALAYA MAMAYAKO ALIYETO..BWA UKAPATA NAFASI YA KUJA HAPA NJOO"na matusi mengimengi ya ajabu ambayo huwezi kuamini kuwa yanatoka mdomoni wa wakufunzi ambao ni watu wazima ,na NI LAZIMA UITIKIE NDIYO AFANDE.kiukweli siku ya kwanza nilishudia watoto wa kike wanamwaga chozi na vilio juu.Niliumia sana na kujiuliza hivi jeshi halina njia nyingine ya kufundisha uvumilivu kisaikolojia zaidi ya hii sikupata jibu nikanyoosha mikono juu nikatoroka usiku huohuo.
Kwani raia wanafundishwa nidhamu !??
Shame on you!
Why shame on me? Unapompeleka mtoto shuleni halafu anafundishwa matusi na brutality unategemea nini?
Ikumbukwe kuwa watumishi wa umma wanastahili kuwa kioo cha jamii. Polisi walistahili kujifunza huma rights. Angalia yaloyotokea kwenye hiyo operesheni tokomeza ujangili? Utovu wa nidhamu unasababisha ukosefu wa utiifu. Wananchi wanijikuta wana jenga uadui kutokana na atitudes za askari
polisi wakitoka CPP wanakuwa kama wamefungwa akili, ndio maana wanalipwa mshahara shilingi 5 na kuishi kwenye makazi ya hovyo na kutumikishwa na mafisadi lakini hawajali. CPP inawatoaga akili...hawajitambui!
Waambie hao wapumbavu wanaoitwa m k u n d u halafu wanachekelea, sisi tuliokubali kukomaa na corporate world mpaka sasa tumeshalamba ma bonus yetu tunashinda site tu wekend kama hizi tunachimbia pesa tupate makazi bora..
acha mambo ya movie, umewahi kusikia askari marekani anamlazimisha raia afanye mapenzi na mti? kama mafunzo yanafanana mbona output tofauti?
polisi wakitoka CPP wanakuwa kama wamefungwa akili, ndio maana wanalipwa mshahara shilingi 5 na kuishi kwenye makazi ya hovyo na kutumikishwa na mafisadi lakini hawajali. CPP inawatoaga akili...hawajitambui!
Kile chuo wanaomaliza ni askari wakakamavu tu.
Ukiishapita CCP utaweza kuishi sehemu yoyote duniani na kuvumilia matatizo ya kila aina mpaka ukafanikiwa
Mimi nimepiga miezi tisa pale CCP enzi za Mkisi R.I.P , RSM HARRISON NG'ECHI na AFANDE SAIMORA MASAGAMBA.
Ni kweli lugha zinazotumika na shuruba inayotolewa pale kama wewe ni mtoto wa mama huwezi maliza hata wiki
Ni aibu kwa mtoto wa kiume kuja hapa hadharani kulia kama unataka kubadilishwa nepi. CCP ni chuo cha kijeshi na watu kama wewe hamtakiwi kupita pale kwani hatutaki kuja kupata askari mdebwedo urojo wasio weza kudhibiti viroba na wahalifu