Mechi ya ngao ya Jamii, itachezwa jumatano tarehe 23/08/2017 na hii ni kuonyesha ufunguzi mpya wa Ligi kuu ya Vodacom ambayo itaanza mwishoni mwa wiki.
Kila mtu anaipenda timu flani kati ya Simba SC na Yanga SC, na siku hiyo ni lazima mshindi apatikane hata kwa penati.
Nani kuibuka mbabe...
Wanajamvi....
Binafsi nimekuwa na tabia ya kupenda kutembelea Mkoa wa Kilimanjaro hususani wilaya ya Moshi mjini. Na kwa wakati huu niko Moshi, japo mimi si mwenyeji wa Mkoa huu ila huwa napenda kuja bila kujali ni mwezi gani au wakati gani.
Ki ukweli hali ya Mji wa Moshi si nzuri kabisa, joto...
Nduguzangu bado mimi niko Moshi,
Namshukuru Mungu kwani niko salama kabisa, na hakika tumefanya kampeni za uhakika na za nguvu
katika kata zote 21 za Manispaa ya Moshi. Na kwa kifupi ni kuwa Wananchi wa Moshi wanahitaji
mabadiliko sasa. Wamechoshwa kukaa upinzani kwa miaka yote, sasa ni muda...
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.
Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka...
Wanabodi,
Binafsi nimeshangazwa sana na tabia inayofanywa na Wabunge wa chadema. Na kiukweli SIJAPENDA!!!!
Inakuwaje Mbunge anatoa Ambulance au gari la kubebea taka katika Jimbo lake na kisha kuandika...
'Msaada kutoka kwa Kaka yenu A.Mbowe" au "Gari hili ni msaada kutoka kwa Philemoni...
Wanabodi,
Hapa Tanzania kuna sherehe nyingi sana za Kitaifa kila mwaka. Na sherehe hizi hufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mfano siku wa watoto Kitaifa, Kumbukumbu ya Mashujaa wa Taifa, Mei Mosi Kitaifa, Kuwasha au Kuzima Mwenge Kitaifa, Siku ya Wanawake Kitaifa n.k., zipo...
Wala msipate shida kujiuliza maswali mengi.
Dr Slaa alijifunzia siasa ndani ya CCM then akatoka sio mbaya. Na sisi wanaccm leo akirudi atakuwa karudi nyumbani. Hakuna ubaya wowote!!
Mfano: Steven Wassira, Walid Amani Kabouru.
Mandla.
Wanabodi,
Binafsi ni kati ya watu wanaoipenda na kuitumikia CCM kwa moyo wa dhati pasipo shaka yeyote. Na nilianza
hizi harakati toka nikiwa Chuo Kikuu.
Nduguzangu wa Moshi Mjini (Manispaa) bado mna kazi kubwa na ngumu kuhakikisha mnapata uungwaji mkono
na Wananchi wengi wa hapo mjini. Kwasasa...
Wanabodi,
Nichukue nafasi hii kwa kuwapongeza FEZA SCHOOLS kwa kushinda Kimataifa "GENIUS OLYMPIAD.
Hakika baada ya muda sio mrefu mlichowekeza kwa wanafunzi kitakuja kuonekana hapa Tanzania.
Endeleeni kuwajenga wanafunzi katika Elimu,Malezi na Kiroho ili tuwe na Taifa Bora siku za mbeleni...
Huu ni mtizamo wangu,
Hawa viongozi wawili na makada watiifu wa CCM nawaona watafika mbali katika kumtafuta M/Kiti wa CCM na Rais wa Tanzania 2015.
Binafsi sina kundi lolote, isipokuwa hawa viongozi ni wa aina yake na wasiopenda makuu. Tuwatizame kwa macho ya umuhimu.
Mandla.
Wanabodi habari ya leo,
Binafsi naomba kusema ni vyema kuwajali na kuwahifadhi wapendwa wetu waliotutoka kwa njia nzuri na ambazo ziko kihalali kulingana na mila, desturi, tamaduni na dini tunazoziamini. Lakini pia niseme ni masikitiko sana kuondokewa na mtu katika jamii yetu na kaya zetu...
Huu usemi siku hizi umekuwa maarufu sana! Na huenda watu wengi wanashindwa kuuelewa na pengine unatumika vibaya.
Ni vyema tukaambizana sasa, huu usemi una maanisha nini.
Mandla.
Hili gazeti la "Tanzania Daima" sasa limezidi kuwapotosha wasomaji wake.
Mara nyingi linaandika habari za kuegemea upande fulani na pia linaponda kabisa
jitihada za Serikali katika kuwaletea maendeleo watanzania.
Ni ombi langu tu kwa Serikali kuchukua hatua stahiki kufuatilia gazeti hili na...
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi wenye mapenzi mema...
Wana JF,
Kumbe wachaga hawapendi michezo. Mji wa Moshi wanategemea uwanja wa Chuo cha Ushirika kuendeshea mambo yao ya michezo.
Kiwanja cha Manispaa Mjini Moshi ni Memorial, Lakini hawa wachaga wanafanyia biashara ya Mitumba.
Kitu cha ajabu, CCM ina viwanja kila Mkoa hapa Tanzania lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.