Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF,
Kumbe wachaga hawapendi michezo. Mji wa Moshi wanategemea uwanja wa Chuo cha Ushirika kuendeshea mambo yao ya michezo.
Kiwanja cha Manispaa Mjini Moshi ni Memorial, Lakini hawa wachaga wanafanyia biashara ya Mitumba.
Kitu cha ajabu, CCM ina viwanja kila Mkoa hapa Tanzania lakini ndani ya Mji wa Moshi hawana kiwanja.
Moshi kuna timu imepanda daraja la kwanza, Panone FC lakini nao wanatumia uwanja wa Ushirika ambao ni mali ya chuo....
Uwanja wenyewe ni kituko kwani una jukwaa upande mmoja tuu.. Ni kwamba watazamaji hawakai ila wengi wao wanasimama kuzunguka uwanja.