Niko Safarini naelekea Jimbo la Moshi Mjini (Moshi) kushiriki kampeni za CCM!

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,099
630
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,
 
Aaah wapi.Utakuja kutuambia.Chadema wapo vizuri.
 
Naomba umwambie Mosha awalipe boda boda aliowakodisha juzi,hlf naomba umwambie hawezi kushinda hapa Moshi akatafute sehem nyngne.
 
Pole sana na karibu sana.
Kwa Moshi ninayoijua basi ujiandae kuandika historia ya kushindwa kwa kishindo.
CCM haipo Moshi mjini na mjiandae kupata diwani wa viti maalum pekee.
 
Wanabodi kwa ujumla,

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Well there's a first time for everything.

Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Safari njema.
 
njaa zitakuua kwa hiyo umeona davis mosha pekee ndio anahitaji msaada? kwanni usije kawe kumsaidia kipe warioba anayeburuzwa na mdee?
 
Mandla Jr usilogwe ukaja na vijisenti ukadhani utawahonga wana Moshi. kwanza muulize yahaya wako anaishi wapi? lakini pili usijidanganye kwani dodoma tunaichukua ukawa na moshi tunaendeleza himaya yetu. karibu lakini tuambie yahaya anaishi wapi mbona anabadilisha hoteli tu?
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,
 
Unakuja na sh ngap ? Maana mosha keshapinda tayar!

Safari njema ya kwenda kushuhudia jinsi UKAWA wanavyochanja mbuga kuelekea Ikulu.
 
Naona ushapiga ela za huyo zuzu mwenzio na sasa unasepa ili hasije kushika shingoni baada ya kutoswa 25.10.nasikia hilo gari kuna uwezekano likapata ajali hivyo jiangalie sana
 
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,

Huyo mavunde hashindi

Nchi ishakombolewa na ukawa hili tangazo lako kabandike Lumumba na chimwaga
 
njaa zitakuua kwa hiyo umeona davis mosha pekee ndio anahitaji msaada? kwanni usije kawe kumsaidia kipe warioba anayeburuzwa na mdee?

Yaani ccm wamefanya makusudi kuhakikisha majimbo yoote ya dsm yanachukuliwa na ukawa
 
Hajali atashinda au atashindwa yeye anaenda kwa bilionea kupiga pesa...njaa hizi! amechagua ng'ombe aliyenona.... kipindi cha kupiga pesa hiki kwa CCM maslai.
 
Pole sana na karibu sana.
Kwa Moshi ninayoijua basi ujiandae kuandika historia ya kushindwa kwa kishindo.
CCM haipo Moshi mjini na mjiandae kupata diwani wa viti maalum pekee.

Huyo hata ukimwambia ukweli hawezi kukubali maana alikuwepo jimboni mwa nasari na ilibidi akimbie bila ya kumaliza kampeni baada ya kuona moto wa cdm
 
Back
Top Bottom