Ni V8 tatu lingine lilikamatwa Iringa huko likiwa na STL hivyo hivyo….na mpka imefikia kukamatwa ujue wameshapiga saana hizo mishe na mpaka wanakuja kukamatwa lazima hawakuelewana vizuri na polisi….
Ni kweli kibongo bongo dstv ipo juu,hakuna wa kumfikia lakini haitoi ukweli kwamba tunalipa zaidi kuliko tunachopata….Huko duniani kuna channel nyingi sana zenye content za ukweli,movies za maana lkn wao dstv wame jaza channel kama Kix,fashion nk …ukitoa supersport dstv has nothing to offer...
Upo sawa wewe!!!!
Tunajifariji tu hapa lkn Dar haifikikii Nairobi….Huu ni ukweli mchungu hata ukiangalia malls zilizopo Nrb dar hakuna…
Barabara zao hazina upuuzi wa 50 speed wala matuta hasa highway kama huku kwetu…kupotezeana muda tu.
Kenya wametuacha sana tuache ushabiki…Hiyo expressway ni balaa….mmetisha majirani…kongole kwenu….Sisi huku nilisikia wanataka kujenga ya kulipia kibaha chalinze watu wakalamika humu jamii forums.
Wakati wenzetu wamejenga tena kwa muda mfupi sana na ina option ukitaka kupitia hiyo ya kulipia au...
Umenikumbusha jamaa yangu….yao ilikua inaitwa twitter nn sijui….unaweka hela then unapewa task ya ku like page kadhaa unapewa commission,kianzio laki saba unapewa mwezi mzima,ukimuunga mtu unapewa commission….ukiweka hela zaidi na dau linaongezeka…jamaa akanogewa akaweka milioni tatu laki saba...
Hapa nchini viwanda vyote vya sukari vinamilikiwa na wahindi ndio maana inakua rahisi kufanya kichezo mibaya….kagera sugar na mtibwa mmiliki mmoja…na tuna viwanda vinne tu hapa nchini kama sikosei!
Hv vituo vinaitwa puma lkn vimekodishwa kwa watu ndio wanaviendesha….mfano ile ya pale metropole inaendeshwa na manjis ile ya philips inaendeshwa na setway (laswai) nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.