Search results

  1. S

    Elimu ya kidigitali haijaguacha salama walezi.

    Elimu ya kidigitali. Mambo meengi yamebadilika.. Mwee!! Akichelewa kudamka asubuhi akaachwa na basi la shule, naadhibiwa mimi.. Natoa pesa yangu mfukoni ili apande bodaboda awahi vipindi.. Tena wakati mwingine inanibidi nichome mafuta yangu kumuwahisha. Asipofanya homework mara kadhaa, naitwa...
  2. S

    Chagua jibu sahihi kuhusiana na katiba mpya

    Wakuu; Nyie mnasemaje juu ya hili la katiba? A) Tupige NDIYO kama wanavyodai CCM B) Tupige HAPANA kama wanavyodai maaskofu wetu. C) Tusipige kabisa kama wanavyodai UKAWA. Yaani jibu vile unavyoona sahihi. Ikiwezekana tushawishi nasi.
  3. S

    Kiwanja kinauzwa Musoma

    Wakuu heshima kwenu! Natafuta kiwanja Musoma mjini hasa maeneo ya Nyamatare. Pia Kama una namba ya dalali wa viwanja maeneo hayo nijulishe pse!
  4. S

    Fundi Uashi / Ujenzi

    Natanguliza shukurani kwa wataalam watakaochangia, Katika ujenzi ambao ninaelekea kuukamilisha, nimeshauriwa kuongeza urefu wa nyumba. Na ninaleta Uzi huu kwenu wataalam kuona km ushauri uliotolewa unatekelezeka kitaalam na Kama hauna madhara. - Japo najua itanigharimu Tatizo lime tokana na...
  5. S

    Suzuki Carry inauzwa

    1993 Suzuki Carry iliyoingia bongo Miezi mitano iliyopita inauzwa. Gari iko jijini Mbeya - Imeingizwa nchini ikiwa na km 52,000. Haijawahi kutumika kwa biashara, ukiacha safari ya kutoka dsm to Mbeya, Gari imepakiwa tangu imeingia maana aliyepanga kuitumia alipata dharura. Hivi sasa imetembea...
  6. S

    LANCRUISER Prado (SX) for sale

    Sold out
  7. S

    Msaada kuhusu hybrid mode ya open university of tz

    Ndugu zanguni, natamani kujiunga na program ya Masters of Social Work (Hybrid mode) inayotolewa na OUT. Ninaomba kujua kuhusu muundo wa ufundishaji kwa Mfumo huu wa hybrid. Chanzo Kimoja kilinambia kuwa panakuwa na face to face sessions ambazo watakutana mara tatu mpaka kumaliza program na...
  8. S

    Eti huwezi pata digrii bila kupitia kidato cha sita?

    Nimepata taarifa hizi leo mchana kwamba wizara ya elimu imeamua njia ya mkato iliyokuwa ikitumika awali ambapo mtu mwenye diploma aliweza kuunganisha digrii moja kwa moja imesitishwa kuanzia intake ijayo. Tetesi hizo zikadai kwamba hata kama umewahi tunukiwa diploma 3, ili usome digrii ni...
  9. S

    2001 mitsubish pick up for sale

    Hi everybody! I am selling this car at a very reasonable price of Tsh. 8.5M (With a slight room for negotiations) No accident history and the car is very clean inside and outside. Was using it kwa kwenda kazini na matumizi mengine ya nyumbani. Ni single cabin na imetembea km 171,128 Full AC...
  10. S

    Taarifa kwa wajasiliamali

    Wakuu naamini taarifa hii ni muhimu kukufikia. Hasa kwa wanaotaka kuuweka ujasiliamali katika vitendo. https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/567683-ngombe-bora-wa-maziwa-wanauzwa-product-za-kituro.html
  11. S

    NG'OMBE BORA WA MAZIWA WANAUZWA (Product za Kituro)

    Ninauza ng'ombe bora wa maziwa (product za kituro) kwa bei ya jumla Tsh. 900,000/- kwa kila mmoja. Ng'ombe wako watano na wote wanakamuliwa na wana mimba kati ya miezi mitatu na minne. Wanatoa lita sita - mpaka tisa kwa mkamuo (Ni ng'ombe wazuri - naambatanisha picha) Sababu za kuwauza...
Back
Top Bottom