Salama salimini
Senior Member
- Dec 2, 2013
- 191
- 39
Sold out
Kwa kweli mkuu chombo nimekikubali! Gari imetunzwa sana kaka, hata hivyo ngoja niwasiliane na wadau, si umesema bei inaongeleka ndugu?
Mbona kimya mkuu Donard... :roll:Sawa mkuu, nipe muda nitakucheki kwa simu
Mbona kimya mkuu Donard... :roll:
A 1994 SUV for Tshs 18.4M?. Kweli wabongo pesa wanayo!.bei yako.
A 1994 SUV for Tshs 18.4M?. Kweli wabongo pesa wanayo!.
Yegomasika kwani wewe mwaka iliyotengenezwa gari ndio unaona factor pekee inayotakiwa ku-dettermine bei ya gari? Hujui kuna gari za nyuma zaidi Zenye bei around 28M? Model hii umewahi kuiona ya mwaka 2000? Yegomasika siga obhuumane, ulitaka bei iwe 13M? Km una 13M sema nikupe Gari ya bei hiyo kakaA 1994 SUV for Tshs 18.4M?. Kweli wabongo pesa wanayo!.
Mbona kimya mkuu Donard... :roll: