Suzuki Carry inauzwa

Salama salimini

Senior Member
Dec 2, 2013
191
38
1993 Suzuki Carry iliyoingia bongo Miezi mitano iliyopita inauzwa. Gari iko jijini Mbeya - Imeingizwa nchini ikiwa na km 52,000. Haijawahi kutumika kwa biashara, ukiacha safari ya kutoka dsm to Mbeya, Gari imepakiwa tangu imeingia maana aliyepanga kuitumia alipata dharura. Hivi sasa imetembea 54,000 tuu.

Full Ac, very economic in terms of fuel consumption, na Ina sport rims. Bei ni milioni Sita na laki Sita (6,600,000/=) tuu.

Vibali vyote viko hai. Mnunuzi halisi awasiliane na mmiliki kwa namba 0755 789 355
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    7.4 KB · Views: 198
  • image.jpg
    image.jpg
    6.3 KB · Views: 193
  • image.jpg
    image.jpg
    7.4 KB · Views: 190
  • image.jpg
    image.jpg
    6 KB · Views: 198

Similar Discussions

Back
Top Bottom