Search results

  1. the event

    Swali kwa Wema Sepetu; Hii shepu ni ya kwako kweli au umejaladia?

    juzi nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ile movie yako ila sikuamini nlichokiona Wallah mtoto umbo namba nane limekaa likakalika kweli na huo mtrako nyuma ndo kabisa uliniua nguvu zotee za kiume.. ila nna mashaka kama hii shepu ni yako kweli, ukipata nafasi ya kupitia uzi huu tafadhali nijibu kama...
  2. the event

    Mtu wa kubadilishana nae laptop.

    Wanabodi natafuta mtu wa kubadilishana nae laptop mimi natumia chromebook ila nataka mashine ya window so kwa yeyote aliye tayar anichek PM, Mashine yangu haina tatizo lolote except spika imeanza kukoroma kidogo lakini wala sio tatizo kwa sababu nimeitumia kistaarabu, Kwa wasio ijua chromebook...
  3. the event

    Hatimae yamenikuta Google Adsense wamelamba account yangu

    Wadau yamenikuta mwenzenu nilikua nikiambiwa sana kuhusiana na adsense kufingia account za africa na especial zinazotegemea traffic ya facebook sasa hatimae yamenikuta wamelamba account yangu ikiwa na kama $148 ,,,asanteni adsense mmeniliza leo Wadau naomba mmbadala wa adsense tafadhali nataka...
  4. the event

    Natafuta chumba maeneo ya kurasini karibu na TIA

    Salaam Mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba cha kupanga maeneo ya kurasini na pawe karibu na chuo cha TIA... Sihitaji madalali kwasababu pesa ya kuwapa ya mwezi mmoja kusema ukweli sina...hivyo nahitaji direction niende kwa mwenye nyumba mwenyewe.. My budget ni 100k kwa mwezi.. Nitalipa...
  5. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    Salaam wanajukwaa.. Naomba msaada wenu kisheria wakuu...nitaeleza kwa kifupi kidogo ili nisiwachoshe. Kuna boss wangu (Indian) aliniajiri yapata mwaka mmoja na miezi saba sasa...lakini wiki iliyopita kwa ghafla tu amenifukuza kazi hali ya kua namdai mshahara wa miezi minne (4) ya nyuma ambayo...
  6. the event

    Fumbua fumbo

    Msaada unahitajika Kung'amua fumbo hili *WHO WAS THE MURDERER??*
  7. the event

    Vote for Diamond Plutnumz (MTV Africa music awards)

    Haya haya kumekucha huko kwa madiba...ni zile tuzo za (MTV Africa Music Awards) ndo zimerudi tena..Na kama kawaida yule raisi wa bongofleva anaendelea kupeperusha bendera ya nchi kwa uzuri zaidi...Na safari hii amechaguliwa kushindania tuzo za MTV kipengele cha "BEST MALE ARTIST" na kama...
  8. the event

    WALITUVALISHA MATAMBARA YA DEKI SASA WAMETULETEA NA HII

    Walileta matambara ya deki na wabongo kama kawaida yetu tukazidaka na tukaanza kusumbua nazo mjini...sasa wametuletea na hii iliyopulizwa na moto soon utaona watakavyoanza kuzikimbilia.... Ipe maneno hii style mpya!
  9. the event

    Unahitaji simu yenye sifa hizi??

    ULEFONE PARIS NOW IN DAR (370,000/= tsh ONLY) Brand-ulefone Model-Paris Color-Metal Grey / Silk White Dimensions-144.5 x 71.7 x 8.0 Weight-128g (with battery) Operating system-Pre-install Android 5.1 Lollipop CPU-64Bit MTK MT6753 processor Octa-core 1.3GHz CPU GPU-ARM Mali -T720 GPU RAM-2GB...
  10. the event

    Frame zinapangishwa kariakoo mtaa wa mkunguni na livingstone (nargi's plaza)

    Habari zenu wakuu,jamaa na marafiki..poleni na majukumu ya wiki nzima na ni imani yangu kua mko na weekend nzuri na salama... Wiki iliyopita katika mihangaiko yangu ya kutafuta office ya kupangisha nikajikuta naingia kwenye office ya ndugu yangu ila si wadamu..tulisoma nae kuanzia primary...
  11. the event

    [distributers wanted] kampuni ya simu za mkononi "blumobile" kutoka marekani inatafuta distributers

    Habari zenu wakuu wa jukwaa hili..naamini mu buheri wa afya..leo nimeamua kushare na nyinyi hii taarifa kua kuna kampuni ya simu inaitwa BLUMOBILE wanatengeneza simu zinazofahamika kwa jina la "BLU" yenye HEAD QUARTERS kule marekani kwenye jimbo la FLORIDA au MIAMI kama sijakosea..wameanza...
Back
Top Bottom