Search results

  1. omary mwene

    Kiwanja kizuri kinauzwa bei nzuri sana

    weka bei na weka picha.
  2. omary mwene

    Dogo Kanitibulia Valentine Yangu, Wallah Nikimkamata Nauaa

    hadith yake nzuri,naomba niimpe mji.........!?
  3. omary mwene

    Bomoa bomoa yaja dar

    wanabomoa nini na maeneo gani....!?
  4. omary mwene

    Ofa ya dina kwa mkaka siku ya wapendanao

    mmmmmh hiii itakuwa safari ya kupelekwa tanga kunyonywa damu.
  5. omary mwene

    Ipe maneno picha yangu wanungwana

    utamu wa chips kuku,mimba.
  6. omary mwene

    Rais Kikwete ahojiwa na CNN kuhusu ujangili

    Aaaaaaah wamekata............ Umeme wenyewe,tuacheni tanesco tumuangalie raisi wa ..........
  7. omary mwene

    Rais Kikwete ahojiwa na CNN kuhusu ujangili

    Vipi kashawakamata hao majangili...!? Au ndio hadithi zilezile za sungura na fisi..
  8. omary mwene

    Clouds TV

    wanashindwa kupanga vipindi hambavyo vitakuwa na mashiko kwa watazamaji wa lika lote.
  9. omary mwene

    Ama Kweli Huyu Jamaa ni Noma

    hii sio jezi ya yanga ni frana za kijani na njano hambazo hutumia kuchezea mechi yanga....
  10. omary mwene

    CHADEMA tumeshindwa Vibaya Uchaguzi huu, Tunahitaji tathmini ya kitaalamu…

    ha ha ha haaaaa.......... naona leo mnatamba nyinyi tu ccm....!? nikikumbukaga ule usemi waliosemaga ccm kwamba "hatuwezi kuachia nchi kwa makaratasi" nawaga sijisumbuagi sana na mambo hayo,kwani haea jamaa hawana adabu kabisa wanaposikia kunauchaguzi watafanya kila linalowezekana ilimradi...
  11. omary mwene

    Mata unawadanganya manchester

    piga tu hao walisha zoea kununu,sasa hivi pija mpaka washike adabu........
  12. omary mwene

    Snura wa majanga amuumbua shilole eti ''sura mpya miguu ya zamani'' shuhudia picha hapa

    hapo wamekutana mbuzi wa bwana heri na shamba la bwana heri. hawa wadada wananikumbusha kipindi cha kina zay b na mwenzie anaitwa nani cjui.......!?
  13. omary mwene

    Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    ha ha ha haaaaa mimi mbona hamjanitaja...!? nina nguvu na uwezo wa kugegeda hata wadada wa tano kwa siku,sasa hao wazee wataweza wapi mambo hayo.... !
  14. omary mwene

    Kipanya unaakili sana!

    sasa hivi sembe na pembe za tembo....
  15. omary mwene

    Chanel zimepotea kwenye king'amuzi cha azam naomba msaada

    ha ha ha ha haaaaaa nadhani kila mtu anasonyea kwake baada kuja kumbe chanel zenye za tom n jerry(cartoon).
  16. omary mwene

    Kwanini huwa unasema hili neno?

    vijana wa sasa hivi bwana wana mambo....! enzi za mwalim mambo haya kulikuwa hamna ila sasa hivi wizi mtupu......
  17. omary mwene

    Yesu na petro

    ha ha ha ha haaaaaa.
  18. omary mwene

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    dua za kuku hizo kamwe sikuzote hazimpati mwewe........
  19. omary mwene

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ushakunywa viroba nini....
Back
Top Bottom