Search results

  1. too old 4 age

    Tunapotembea na sehemu za miili yetu zilizokufa....!

    mkuu asante sana ni somo zuri kwakweli,tunatakiwa tu kuwa serious na uwazi wa matatizo yetu hasa huku jf utakuta mtu analeta uzi ambao hata hauna logic ya ukweli wa tatizo au na mwingine just kuweka jokes kwenye tatizo la mwenzake wakati aliyepost pengine yuko serious na hilo tatizo lake,nadhani...
  2. too old 4 age

    Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    pole sn dada hapo inabidi umpe moyo mumeo na ikibidi mueleze kwa upole jinsi unavyopata shida lol hajapitia mafunzo ya wazee nn huyo kuwa mke kwanza?!!!!!!!!!!
  3. too old 4 age

    JF ladies come here, special for you!

    wadau swala la chakula labda km yupo home atatakiwa kutake care of it ila itakuwa ngumu muda wote awepo coz cku hzi maisha ni kila mtu kutafuta na hayo mengine mpaka ayafanye nani anampa km c huyo mwanaume na tamaa zake???????!!!!!!!!!!!!!!! cha muhimu baba jiheshimu umchukulie huyo binti km...
  4. too old 4 age

    Are asexuals real?

    nadhani hilo laweza kuwa tatizo la kisaikolojia zaidi coz hyo kazi inahitaji maandalizi zaidi ya kiakili na inabidi apate mtu wa kukaa naye wa kumpa romantic words mpaka asahau yaliyopita km yapo then maisha yaendele tena yatakuwa mazuri balaa
  5. too old 4 age

    Kabla sijampata,nilimdanganya mambo mengi,sasa kakuta mambo ni tofauti,anataka kuni..

    mkuu huyo dada ulimpenda au ulimtamani? kwann umdanganye? kwanza una bahati coz ana mpango wa kuendelea na ww ingekuwa mwingine ndo byebye coz km uliweza kumdanganya kitu kidogo hvo je mengine?
  6. too old 4 age

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    pole sn dada ila hapo unatakiwa uangalie km hzo picha na chat zina uhusiano wa kimapenzi na zaidi wa kukupa ukweli ni mumeo na c mwingine,pia inawezekana hao wadada ndo wanam -aproach so kuwa makini na chat nani mwanzilishi na je majibu niaje? dili na mumeo mama muulize unachokosea km kipo...
  7. too old 4 age

    Ninaombeni elimu kuhusu hili.

    itasaidia sana ukimckiliza yeye coz ndio mwenye jibu la kweli, inategemea na mtu hyo!!!!!!!!!!!!!
  8. too old 4 age

    Jamaa kanifumania namgegeda mkewe live lakini hajamind

    cjui sna lkn c kuna wale wanaosema kuna kugeuza shuka ulilolalia ili na mwenzio aote the same ishu??!!!!!!!!!!!! ha ha ha ha lol cpati picha!!!!!!!!!!!!!
  9. too old 4 age

    Jamaa kanifumania namgegeda mkewe live lakini hajamind

    pole sn ila hiyo ni ndoto ya kawaida pia umejinenea wewe tu kuwa huna mpango je vp kuhusu shemejio km ye ana mpango huo??
  10. too old 4 age

    Wakuu tushauliane hili suala

    hayo ya ndugu yanasolvika mkuu cha muhimu huyo ni mke wa john na c wa familia!!!!!!!!!!!! well said bna hyo!!!!!!!!!!!
  11. too old 4 age

    Jamani kuwa msimamizi wa harusi ni kazi sana

    sure inaboa ila ningemuuliza bidada km huwa anaongea mwenyewe au anamshirikiksha kwenye hayo maongezi? pia sioni km ni busara kuweka ishu km hiyo ya ububu hadharan hvo b4 ht kumuuliza mhusika pengine angebadilika,hiyo ni kuonyesha udhaifu wenu nje tena bidada aangalie huo usije ukatumika...
  12. too old 4 age

    Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

    hapo nilipobold umenena vema mkuu big up!
  13. too old 4 age

    Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

    mkuu inategemea na mtu hali yake iko vp kwa mfano we mwenyewe km c husband material utake wife material wapi na wapi???? tafuta mtu wa type yako mkuu!!!
  14. too old 4 age

    Wadada, kwa nini mambo haya yameshamiri siku hizi?

    hapo nilipobold umenena vema mkuu big up!
  15. too old 4 age

    Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

    poa ila sasa ndo kuwe na masharti na makubaliano c kuendeshwa sn hivyo mpaka upate pressure!
  16. too old 4 age

    Alichonifanyia mdogo wangu naumia

    cjajua km ni mazoea ya aina gani hapo yanayoongelewa jamani but km ni haya ya kawaida kwenye biashara huwezi kuwa km gogo lazima utakuwa na mazoea na watu ila yakibase sn kwenye business, tafuta suluhu ya ndoa yako best kwani % ndogo ya uaminifu ikishuka kwenye mapenzi ni ngumu sn kuipandisha ht...
  17. too old 4 age

    Nimekuja kwenu kuomba ushauri

    pole sn mkuu hapo wa kupewa dozi ni huyo mwanamke km vp achape lapa kwa maisha bora yapi ya kutoa 4m as mahari hapa tz?! pima kauli za mkeo pia uckute naye kakugeuza mtaji coz nijuavyo mm mwanamke ana nguvu kwenye maamuzi ya mahari, ye hawazi hao mapacha wake watakula nn anawaza kuwapa kina...
  18. too old 4 age

    Pete sio ndoa,funga miguu yako mwanamke

    well said mkuu wanawake mcshawishike na pete jamani kuwa makini na mtu mwenyewe km ni husband material au la!
  19. too old 4 age

    Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

    mkuu pole sn kwa janga hilo, ila hapo cha muhimu ni makubaliano yenu from the very beginning kwamba huyo mtoto mumlee kwa masharti yapi? km hamkupanga hayo inabidi ss mpange tena mpe masharti makali huyo baba mtoto,kwanza huyo mtoto ana umri gani mpaka awayumbishe hvo? km kashafikisha umri wa...
  20. too old 4 age

    Nimetukanwa na mke wa jirani yangu!!!

    nadhani hapo cha kwanza kufanya ni kumshirikisha mkeo kilichotokea ili yatakapojiri ya kujiri awe muelewa,pili mpuuzie huyo wife wa jamaa na jamaa jaribu kuwa naye mbali kidogo au mpe kitu live bila chenga then mind mambo yako km wewe kwani b4 ulikuwa na wakina nani?? but pole sana unajua siri...
Back
Top Bottom