Pete sio ndoa,funga miguu yako mwanamke

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,706
Mwanaume akikutongoza ukamwambia Hamtafanya Mapenzi kabla ya Ndoa...Atarudi Home atawazaaa,atakutafutia mchanga wa macho ili ulainike..atajichanga,atanunua Pete la Bati atakusapraiz,na washkaji wachache..
Ulivyo Mwehu ukishavishwa Pete unaota Vipele aka Goosebumps na sentensi za Kizungu cha Tandale,''wooow ,Babe ur so rovely'unalainika unatanua Mapaja...Baada ya Miezi mi3 unaona ka-upload picha ya Mwanamke mwingine kama Whatsap Profile Picture..Halafu anamuweka Instagram anaandika'My Number 1'...Basi home unafuka moshi kwa hasira hadi unatoa Povu kama umekunywa OMO...Na huo ndio mwisho wako.Ataongea kwa Vitendo na mashoga zako wotee wanakucheka na kusambaza habari zako kama Kirikuu
Hao Ndo Wanaume a.k.a Majibwa,ukikosea Principle tu,anabweka mara moja tu kisha anasepa...Baada ya mwezi unaivua Pete yako ya Bati unaiweka home kama Makumbusho ya Taifa halafu unatangaza Wiki 1 ya maombolezo...Ndoa imefia njiapanda ya Morocco na Utupu umeshawekwa alama
PETE SIO NDOA,FUNGA MIGUU YAKO

shukrani za dhati kwa yule ambaye nimecopy kutoka kwake -plagiarism is an academic offence
 
Mkuu Mwanaume ni habari nyingine......... anaweza hata kuvumilia miaka minne lakini anataka tu atimize kiu yake (kuridhisha EGO yake) kikubwa hapa ni kumshirikisha Muumba wako akupe yule aliekuandalia..

Vinginevyo mwanaume kapewa akili ya ziada... na trust me kuna kitu ndani ya mwanaume akimuangalia tu mwanamke ameshajua huyu ataanzia hapa na ataishia pale ili ampate na akiamua atampata tu hata iwe baada ya miaka mingapi (though its senseless ndio iko hivyo)..... Na kama hatukupewa hiko wanawake wangetusumbua sana.

(usiniulize mbona wengine sijui nini nini.... hao hawakitambui hiko kipaji chao)

Tuna vipaji lukiki sio?
 
woman-crossing-legs.jpg
3068829.jpg
 
Ufunge miguu hata kama una hamu?

Si kila mwanamme anatamanisha ndoa, kuna mwanamme akikuambia muishi wote unaona kama a joke. Kuna mwanamme akikosea kutania kesho yake unahamia kwake hadi ana mafiga,kisa? Anakwolifai difinisheni ya mme kwako. Ikitokea ikala kwako ajali kazini.

Papuchi yake mpododo, uitunze nayo zimekuwa hela kusema zitaisha? Ngono ni hitaji la kibinadamu, uwe ndoani ama si ndoani(Sio maneno yangu, Maslow huyo-check hapo chini)
 
Mi sioni sababu ya kumlaumu mwanaune wakati maigizi yote unakua umeanzisha we
1st kwann mapenz mpaka ndoa?
T means 1st ww ni mbinafsi as u make all the rules na hujali upande wapili una mawazo yapi cause hujali needs za mwenzio
2nd control freak
3rd hujitambui hujui nn maana ya nahusiano
4th mnaishi kwa mazoea sana so muache kuigiza
What I can say is the more u can understand yourself is the more u can have control to the relationship
N the more u can make your man believe in u
 
So unachosema ni kwamba wasifungue miguu mpaka ndoa?

Nadhani anawatahadhalisha wale wanaofungua miguu kwasababu ya pete wakidhani ndiyo ndoa, lakini nijuavyo mimi miguu hufunguliwa kwa starehe binafsi ndiyomaana miguu hufunguliwa hata na walioapa kutokuolewa mpaka Mungu atakapowachukua
 
Ufunge miguu hata kama una hamu?

Si kila mwanamme anatamanisha ndoa, kuna mwanamme akikuambia muishi wote unaona kama a joke. Kuna mwanamme akikosea kutania kesho yake unahamia kwake hadi ana mafiga,kisa? Anakwolifai difinisheni ya mme kwako. Ikitokea ikala kwako ajali kazini.

Papuchi yake mpododo, uitunze nayo zimekuwa hela kusema zitaisha? Ngono ni hitaji la kibinadamu, uwe ndoani ama si ndoani(Sio maneno yangu, Maslow huyo-check hapo chini)

HahahaahahahahahahahahahahAhhaa
 
Hahaaaa. umenichekesha sana aisee. Khaaa!!!! Utasshangaa anatupiwa maneno matamu apo na huo mguu uliojisokota ukakaa ''mguu pande'' punde si punde.... Kie kie kieeee!!!
[
QUOTE=Tyta;8459496]
the-way-we-sit-what-it-me.jpg
the-way-we-sit-what-it-me.jpg
[/QUOTE]
 
Mi sioni sababu ya kumlaumu mwanaune wakati maigizi yote unakua umeanzisha we
1st kwann mapenz mpaka ndoa?
T means 1st ww ni mbinafsi as u make all the rules na hujali upande wapili una mawazo yapi cause hujali needs za mwenzio
2nd control freak
3rd hujitambui hujui nn maana ya nahusiano
4th mnaishi kwa mazoea sana so muache kuigiza
What I can say is the more u can understand yourself is the more u can have control to the relationship
N the more u can make your man believe in u

Haaa...kwaio nikifunga miguu yangu sijitambui???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom